Upangaji wanafunzi uvivu UACHWE

Upangaji wanafunzi uvivu UACHWE

Wewe fala tu. Nilidhani Justine ana A zote kumbe ana B 2.Are you serious kumuita ni genius?
Genius anapata wapi B ?
Kenge wewe. Yaelekea umeishia da naarasa la 4
Kutanguliza DHARAU na kumalizia na KEJELI Inaonesha ni jinsi gani ulivyo DHAIFU kujadili HOJA.

Yawezekana JUSTINE asiwe genius lkn anawakilisha kundi Lake litazamwe wanaohusika waache UVIVU.

Mazingira ya MAJAWANGA P/S naamini jinsi alivyofaulu huyu lazima ana kitu cha ZIADA.
 
Tanzania hakuna special school iliyopo chini ya serikali, it is just a propaganda.Kama zipo uspesho wake upo kwenye nini?
Special school zipo na uspecial wake upo kwenye wanafunzi wanaopokelewa ni lazima wawe na matokeo mazuri zaidi ya wengine ndio maana Kuna shule za kata hizi huwez kumkuta mtoto mwenye A masomo yote kapelekwa hapo na kama yupo basi A zake ni 75

Kimsingi bado zipo na zipo chini ya serikali na zinapokea wanafunzi kutoka pande zote haijalishi amesoma private au government matokeo Yako yakikidhi vigezo unapangiwa ila ushindani ni mkubwa sio kama zamani Kwasabab watoto wanaofaulu ni wengi zaidi kuliko idadi ya shule.

Na ndio maana unakuta wanaotoka private wanakuwa wengi zaidi katika shule hizo Kwani wengi ndio Huwa na matokeo mazuri zaidi

Nenda ilboru, kibaha, mzumbe, na shule za tech mfano Mtwara tech ,iyunga tech n.k watoto wao huwa wako vzr na hata ukimchallange kitaaluma unamuona sio wakawaida.
 
Hiyo ni premitive mentality kwa dunia ya leo kupima uspesho wa mwanafunzi kwa kigezo cha kupata marks nyingi,mbaya zaidi bila kujali mazingira ya mwanafunzi husika. Kwanza Kupata marks nyingi au za chini sio kipimo sahihi cha uelewa kwa mwanafunzi ndo maana nchi haisongi . Mtu aliesoma shule ya milioni 6 akapata wastani wa 90 na mwingine kasoma shule ya kata huko kijijini kapata wastani wa 85,kumwita huyu wa milioni 6 ni special ni kufikiri chini ya kiwango.Hizi spesho school ili ziitwe specialschool zinatakiwa zifanye vitu extra na si kuishia kupambana kufaulisha mitihani kwa marks za juu ambapo wakati mwingine wanafaulu kwa kuiba mitihani.
 
Umefikiri kwa kina na ndipo UVIVU unapoanzia na unapopaswa KUONDOLEWA.
 
Hiyo ni premitive mentality kwa dunia ya leo kupima uspesho wa mwanafunzi kwa kigezo cha kupata marks nyingi,mbaya zaidi bila kujali mazingira ya mwanafunzi husika. Kwanza Kupata marks nyingi au za chini sio kipimo sahihi cha uelewa kwa mwanafunzi ndo maana nchi haisongi . Mtu aliesoma shule ya milioni 6 akapata wastani wa 90 na mwingine kasoma shule ya kata huko kijijini kapata wastani wa 85,kumwita huyu wa milioni 6 ni special ni kufikiri chini ya kiwango.Hizi spesho school ili ziitwe specialschool zinatakiwa zifanye vitu extra na si kuishia kupambana kufaulisha mitihani kwa marks za juu ambapo wakati mwingine wanafaulu kwa kuiba mitihani.
Ila unafahamu kama Kila mtu anapimwa Kwa kile alichosoma yaan mwanafunzi wa shule ya serikal atapewa mtihani wa hesabu huo huo Kwa lugha ya kiswahili na mwanafunz private atapewa mtihani wa hesabu huo huo ukiwa katika lugha ya kiingereza,

Hiyo haitoshi sio kama kwenye shule za kata hakuna watoto wanaopata hizo A flat wapo kwahyo uwezo wa mtu haupimwi na mazingira lazima utambue Hilo na ndio maana hata huko private sio wote wanapata A.

Nakupa mfano mdogo Kuna shule nliona matokeo yao mwaka juzi inaitwa chuno Iko mtwara nenda kaangalie f2 result 2021 Kuna watoto wamepata div 1 za point 7 na ni shule ya kata na ni day.

Lakini kitu kingine ukisema mtihan sio kipimo ni shule Gani dunian ambayo haitumii mtihan kma kipimo naomba kuifahamu?
 
Wengi wamepangiwa shule za karibu na alipomalizia la 7. Mpaka mtoto awe amefaulu kwa kiwango kikubwa sana ndio anaenda special school. Maana 100 ni A na 90 nayo ni A. Huwez mpanga wa 90 special school wakati kuna wa 100 aliyefaulu zaidi
Na 81 ni A pia
 
Ila unafahamu kama Kila mtu anapimwa Kwa kile alichosoma yaan mwanafunzi wa shule ya serikal atapewa mtihani wa hesabu huo huo Kwa lugha ya kiswahili na mwanafunz private atapewa mtihani wa hesabu huo huo ukiwa katika lugha ya kiingereza,

Hiyo haitoshi sio kama kwenye shule za kata hakuna watoto wanaopata hizo A flat wapo kwahyo uwezo wa mtu haupimwi na mazingira lazima utambue Hilo na ndio maana hata huko private sio wote wanapata A.

Nakupa mfano mdogo Kuna shule nliona matokeo yao mwaka juzi inaitwa chuno Iko mtwara nenda kaangalie f2 result 2021 Kuna watoto wamepata div 1 za point 7 na ni shule ya kata na ni day.

Lakini kitu kingine ukisema mtihan sio kipimo ni shule Gani dunian ambayo haitumii mtihan kma kipimo naomba kuifahamu?
Mazingira yana athari kubwa ktika perfomance ya mwanafunzi na kutoyazingatia si sahihi. Ni kweli wapo wa shule za serikali wanaoenda hizo specialschool lakin utakuta wilaya nzima wametoka 2 ukilinganisha na hawa wa private unakuta wametoka 20 ,hapo mazingira ndo yameamua iwe hivo na si uwezo .kwaio kuwahukumu wanafunzi wa binafsi na serikali katika hukumu moja ya nani special na nani si special kwa kigezo cha makisi,unakua hujatumia busara.Unakua umetengeneza mfumo automatically wa kibaguzi ambapo kundi moja linapita kirahisi na lingine linapita kwa ugumu sana kunakoamuliwa na mazingira maana kama ni lugha wamefundishwa na kuimasta.kitu kingine ninachopinga mimi si mtihani bali napinga aina ya mtihani tunaotumia kama kipimo. Dunia ya leo kutumia mtihani wa kuchagua A, B, C hadi math umepitwa na wakati.Mitihani ya namna hii haileti wasomi wenye elimu bali wahitimu mbumbumbu wenye vyeti na wasioweza kuelewa hata mambo mepesi.
 
Kijana JUSTINE JULIUS MFUNDO huyu mmoja wa vijana walio wengi wa KITANZANIA wanaopotea na uwezo mkubwa wa akili zao darasani sababu ya Taifa kutowatambua.

Kijana huyu nimefuatilia matokeo yake ya darasa la 7 kupitia shule aliyosoma inayoitwa MAJAWANGA P/S, nimeishi Dar kwa sasa niko huku mpakani mwa Morogoro na Dodoma ndipo nikaifahamu shule hii kwa jina na kupitia wanafunzi wanaosoma hapo kutokana na kuwauliza.

Matokeo ya daresay la 7 yalipotoka nikashawishika kuangalia ufaulu wao ndipo nilipokutana na jina hili JUSTINE JULIUS MFUNDO.

Kijana pekoe aliyefaulu kwa kupata wastani wa A yaani kapata alama B katika masomo mawili tu yaani ENGLISH na URAIA Masomo mengine yote ni A.

Nikashawishika kuona wenye dhamana ya kuwapangia wanafunzi shule za sekondari watampangia wapi?

Kama kawaida kijana kapangwa kwa MKULULO wa wote HAYA nyote mliomaliza hapa MAJAWANGA P/S mtaelekea PANDAMBILI SEC SCHOOL.

Hii siyo sawa kwa Afya ya taifa linalohitaji MAGENIUS kuja kulisaidia taifa Lao, nani sasa anayetambua uwezo kama huu wa hawa watoto.

Au wanaangaliwa wale watoto wanaosoma hizi shule za kugharamiwa na wazazi?

Taifa lisisubiri mpaka Mwanafunzi afikie elimu ya juu ndipo limpe MKOPO wa science, huyu HAITAJI MKOPO anahitaji kupelekwa shule za VIPAJI.

Mwalimu wake anajisikiaje ? Mwanafunzi huyu kutothaminiwa ? Au kwa sababu mwanafunzi huyu yuko KIJIJINI?

Hivi wanafunzi gani wapo pale MAZENGO ? Wote watakuwa na ufaulu zaidi wa huyu? HATA kama basi na yy kutokana na mazingira yake anaweza kufanya zao ya hao WATEULE wenu.

MBUNGE WA KONGWA ,mtembele kijana huyu na umsaidie ,hili litachochea na wengine na wengine kufanya vzr na hata waalimu kuna faraja watapata.

Tupunguze kuandaa wachunga MBUZI.
Kwa mitihani ipi? Hii ya kufungwa macho then unaweka ABCD? Ndomana kila mmoja anafaulu...
 
Kwa mitihani ipi? Hii ya kufungwa macho then unaweka ABCD? Ndomana kila mmoja anafaulu...
Shule nzima WAMEFELI yy peke yake ndo kapatia ABCD .

Uvivu ukiondolewa nia njema ikawepo wateuliwa kwa ufaulu bora kulingana na mazingira yao WANATAHINIWA upya na KIPAJI halisi kinapatikana.
 
Nasr Mohamed Mchengerwa kasoma FEZA PRIMARILY SCHOOL kapangiwa AZANIA.

Mwingine njnayemfahamu pale pale Feza alipata A zote ispokuwa Uraia, kapangiwa Kawe Ukwamani.

Mwisho wa siku maokoto yako ndiovyatafanya mwanao akasome wapi...
Kapata B ulitaka Naye aende Azania?
 
Kama itakua nimekuulewa vyema ,,
Haiwezekani mtoto ambaye ndani ya matokeo yake kuna masomo mawili ana B halafu apangiwe shule ya vipaji.

Kwa mujibu wa Tamisemi wanafunzi hupangiwa shule kulingana na viwango vyao vya ufaulu.

Waliofaulu kiwango cha juu hupangiwa Vipaji maalum,
Wanaofuata hupangiwa Ufundi,
Wanoufuata hupangiwa shule za Bweni kitaifa,
Na kundi la mwisho hupangiwa shule za kutwa.

Inawezekana mtoto akapata wastani wa A lakini ndani yake kuna utofauti wa ubora wa hiyo ambayo huanzia 81-100.
Mbona hujataja 'shule teule'?
 
Unapoteza muda tu Ndugu yangu
Shule za vipaji zipo ngapi Tanzania nzima miaka hii ambapo Kuna raia milioni 60?
Shule hizi hazijawahi kuongezeka sana sana labda zimepungua. Huyo unaemzungumzia ana B mbili yupo mwingine hapa nyumbani ana A zote kapelekwa Vikindu sekondari
Siku hizi kupata A kwa masomo yote, limekuwa jambo la kawaida sana; kuna haja ya ku review mitihani.
Kuna tofauti gani sasa kwa aliyetunga mtihani na anayefanya mtihani!
 
Ni kweli, nimejaribu kuhusianisha grade maana niliona passmark zangu. By the way nilikuwa na marks 225.. masomo matatu 45+, masomo mawili 40+

Kwa sasa wanafunzi wanafaulu sana., muda unavokwenda na ufaulu unaongezeka
Mie 45+ masomo mawili, na 40+ masomo matatu,

Mie nasemaga kila siku matokeo ya std 7, watoe ki marks ndo inapendeza, kunakua hakuna lawama.
 
Shule za vipaji zingebaki chache labda kwa sababu miaka hii hakuna vipaji labda ila SHULE ZA BWENI WANGEZIONGEZA TU. Haina maana mtoto aliyepata A zote au kuwa na B moja ukamuweka darasa moja na mtu mwenye C zote au pengine ni C na D zote. Huu no uhuni aise.
Kwa kweli, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Enzi tunasoma ili uende kipaji ilikuwa walau uwe na jumla ya maksi 147, 148, 149 au 150 ambayo ndio ilikuwa maksi kubwa, hizo ni enzi za Hisabati (50), Maarifa (50) na Lugha (50)...

Hakukuwa na mambo sijui A, B, C...bali vipanga walikuwa wanaoneshana nani mwenye maksi nyingi...
Mtindo wa marks ni mzuri kwa std 7, kila siku huwa nasema huu wa Grade haufai kabisa kwa level ya primary.
 
Back
Top Bottom