Upangaji wanafunzi uvivu UACHWE

Wewe fala tu. Nilidhani Justine ana A zote kumbe ana B 2.Are you serious kumuita ni genius?
Genius anapata wapi B ?
Kenge wewe. Yaelekea umeishia da naarasa la 4
Kutanguliza DHARAU na kumalizia na KEJELI Inaonesha ni jinsi gani ulivyo DHAIFU kujadili HOJA.

Yawezekana JUSTINE asiwe genius lkn anawakilisha kundi Lake litazamwe wanaohusika waache UVIVU.

Mazingira ya MAJAWANGA P/S naamini jinsi alivyofaulu huyu lazima ana kitu cha ZIADA.
 
Tanzania hakuna special school iliyopo chini ya serikali, it is just a propaganda.Kama zipo uspesho wake upo kwenye nini?
Special school zipo na uspecial wake upo kwenye wanafunzi wanaopokelewa ni lazima wawe na matokeo mazuri zaidi ya wengine ndio maana Kuna shule za kata hizi huwez kumkuta mtoto mwenye A masomo yote kapelekwa hapo na kama yupo basi A zake ni 75

Kimsingi bado zipo na zipo chini ya serikali na zinapokea wanafunzi kutoka pande zote haijalishi amesoma private au government matokeo Yako yakikidhi vigezo unapangiwa ila ushindani ni mkubwa sio kama zamani Kwasabab watoto wanaofaulu ni wengi zaidi kuliko idadi ya shule.

Na ndio maana unakuta wanaotoka private wanakuwa wengi zaidi katika shule hizo Kwani wengi ndio Huwa na matokeo mazuri zaidi

Nenda ilboru, kibaha, mzumbe, na shule za tech mfano Mtwara tech ,iyunga tech n.k watoto wao huwa wako vzr na hata ukimchallange kitaaluma unamuona sio wakawaida.
 
Hiyo ni premitive mentality kwa dunia ya leo kupima uspesho wa mwanafunzi kwa kigezo cha kupata marks nyingi,mbaya zaidi bila kujali mazingira ya mwanafunzi husika. Kwanza Kupata marks nyingi au za chini sio kipimo sahihi cha uelewa kwa mwanafunzi ndo maana nchi haisongi . Mtu aliesoma shule ya milioni 6 akapata wastani wa 90 na mwingine kasoma shule ya kata huko kijijini kapata wastani wa 85,kumwita huyu wa milioni 6 ni special ni kufikiri chini ya kiwango.Hizi spesho school ili ziitwe specialschool zinatakiwa zifanye vitu extra na si kuishia kupambana kufaulisha mitihani kwa marks za juu ambapo wakati mwingine wanafaulu kwa kuiba mitihani.
 
Umefikiri kwa kina na ndipo UVIVU unapoanzia na unapopaswa KUONDOLEWA.
 
Ila unafahamu kama Kila mtu anapimwa Kwa kile alichosoma yaan mwanafunzi wa shule ya serikal atapewa mtihani wa hesabu huo huo Kwa lugha ya kiswahili na mwanafunz private atapewa mtihani wa hesabu huo huo ukiwa katika lugha ya kiingereza,

Hiyo haitoshi sio kama kwenye shule za kata hakuna watoto wanaopata hizo A flat wapo kwahyo uwezo wa mtu haupimwi na mazingira lazima utambue Hilo na ndio maana hata huko private sio wote wanapata A.

Nakupa mfano mdogo Kuna shule nliona matokeo yao mwaka juzi inaitwa chuno Iko mtwara nenda kaangalie f2 result 2021 Kuna watoto wamepata div 1 za point 7 na ni shule ya kata na ni day.

Lakini kitu kingine ukisema mtihan sio kipimo ni shule Gani dunian ambayo haitumii mtihan kma kipimo naomba kuifahamu?
 
Wengi wamepangiwa shule za karibu na alipomalizia la 7. Mpaka mtoto awe amefaulu kwa kiwango kikubwa sana ndio anaenda special school. Maana 100 ni A na 90 nayo ni A. Huwez mpanga wa 90 special school wakati kuna wa 100 aliyefaulu zaidi
Na 81 ni A pia
 
Mazingira yana athari kubwa ktika perfomance ya mwanafunzi na kutoyazingatia si sahihi. Ni kweli wapo wa shule za serikali wanaoenda hizo specialschool lakin utakuta wilaya nzima wametoka 2 ukilinganisha na hawa wa private unakuta wametoka 20 ,hapo mazingira ndo yameamua iwe hivo na si uwezo .kwaio kuwahukumu wanafunzi wa binafsi na serikali katika hukumu moja ya nani special na nani si special kwa kigezo cha makisi,unakua hujatumia busara.Unakua umetengeneza mfumo automatically wa kibaguzi ambapo kundi moja linapita kirahisi na lingine linapita kwa ugumu sana kunakoamuliwa na mazingira maana kama ni lugha wamefundishwa na kuimasta.kitu kingine ninachopinga mimi si mtihani bali napinga aina ya mtihani tunaotumia kama kipimo. Dunia ya leo kutumia mtihani wa kuchagua A, B, C hadi math umepitwa na wakati.Mitihani ya namna hii haileti wasomi wenye elimu bali wahitimu mbumbumbu wenye vyeti na wasioweza kuelewa hata mambo mepesi.
 
Kwa mitihani ipi? Hii ya kufungwa macho then unaweka ABCD? Ndomana kila mmoja anafaulu...
 
Kwa mitihani ipi? Hii ya kufungwa macho then unaweka ABCD? Ndomana kila mmoja anafaulu...
Shule nzima WAMEFELI yy peke yake ndo kapatia ABCD .

Uvivu ukiondolewa nia njema ikawepo wateuliwa kwa ufaulu bora kulingana na mazingira yao WANATAHINIWA upya na KIPAJI halisi kinapatikana.
 
Nasr Mohamed Mchengerwa kasoma FEZA PRIMARILY SCHOOL kapangiwa AZANIA.

Mwingine njnayemfahamu pale pale Feza alipata A zote ispokuwa Uraia, kapangiwa Kawe Ukwamani.

Mwisho wa siku maokoto yako ndiovyatafanya mwanao akasome wapi...
Kapata B ulitaka Naye aende Azania?
 
Mbona hujataja 'shule teule'?
 
Siku hizi kupata A kwa masomo yote, limekuwa jambo la kawaida sana; kuna haja ya ku review mitihani.
Kuna tofauti gani sasa kwa aliyetunga mtihani na anayefanya mtihani!
 
Ni kweli, nimejaribu kuhusianisha grade maana niliona passmark zangu. By the way nilikuwa na marks 225.. masomo matatu 45+, masomo mawili 40+

Kwa sasa wanafunzi wanafaulu sana., muda unavokwenda na ufaulu unaongezeka
Mie 45+ masomo mawili, na 40+ masomo matatu,

Mie nasemaga kila siku matokeo ya std 7, watoe ki marks ndo inapendeza, kunakua hakuna lawama.
 
Kwa kweli, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtindo wa marks ni mzuri kwa std 7, kila siku huwa nasema huu wa Grade haufai kabisa kwa level ya primary.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…