KERO Upasuaji kwa wajawazito imekuwa kama lazima, ni kero kubwa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
The Hyper unao uelewa mpana na umemjibu vizur sana
 
Mkuu mimi nimekupata vizuri mno, ila shida angu iko kwa wahudumu wa afya wasio na huruma na wasiowaaminifu kutengeneza mazingira ya kufanya op hata kwa mtu ambae hakuwa na shida ya lazma kupasuliwa kwa faida zao binafsi
 
Ongea vizuri na Mkeo,wamama wa sikuizi wanapenda sana upasuaji simply hawataki kupitia uchungu na wanaamini wanalinda **** isilegee.
Unaweza kudhani ni Wataalamu wa afya kumbe pendekezo la mteja ila umezungukwa.
 
Mkuu...kama kuna inshu kama hyo
Na unamfahamu mhusika na uko na ushahidi,Fanya uende hospital
 
Ongea vizuri na Mkeo,wamama wa sikuizi wanapenda sana upasuaji simply hawataki kupitia uchungu na wanaamini wanalinda **** isilegee.
Unaweza kudhani ni Wataalamu wa afya kumbe pendekezo la mteja ila umezungukwa.
hilo nalo lipo siping mkuu
 
Huko ulaya nasikia kuna dawa ya kupunguza makali ya uchungu na sie watuletee jamani, uchungu unaogopesha nyie
 
Huko ulaya nasikia kuna dawa ya kupunguza makali ya uchungu na sie watuletee jamani, uchungu unaogopesha nyie
Sijajua kwa Bongo ila nilienda hospital ya Waturuki ipo Unguja nikaikuta hiyo huduma na wameandika kabisa kwenye mlango "Leba bila Maumivu inawezekana" walisema kuna sindano wanamchoma mama yaani anasukuma huku anajisnap akitaka, sema sikutaka kujifungulia Unguja.
 
Wenzetu wanapunguziwa maumivu nyie uchungu unaumaaaa aaaiii achaa
 
Wewe mishono ya sikuizi umeiona lakini??
 
Miaka hii kuna madaktari wa ovyo kabisa, kutibu wagonjwa ni hadi waka- google kwanza. CCM imeleta laana kwa Taifa
 
Upasuaji kwa Hospitali za Serikali sio Biashara pamoja na hilo unatakiwa ujue kuna sababu nyingi zinazopelekea mjamzito kufanyiwa upasuaji ikiwemo kumuokoa Mama, Mama na Mtoto au Mtoto peke yake.
Naamini Madaktari waliopo hapa watakuelewesha zaidi.
 
Kuna jamaa akasema kuwa kama wewe sio mzazi yaani unayezaa na sio muuguzi ama daktari nyamaza Naona alikuwa Yuko sahihi
 
Nimetoka kumzika shangazi wa mpenzi wangu aliyefariki wiki tatu baada ya upasuaji wa aina hiyo RIP.
 
Kama wewe sio mtaalam wa afya na sio mwanamama basi nyamaza na uendelee kunywa wanzuki yako,

Acha sisi tushukuru vifo vya wamama na watoto vilivyopungua.
Kila dokta atakaekufanyia op ana laki yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…