Upasuaji wa bawasiri

Ulijaribu kuchemsha majani mabichi ya mpapai kisha unatawaza(kuchamba) dawa ikiwa bado vugu vugu?
Ikikusaidia dawa hii tuletee mrejesho utawasaidia na wengine.
Unaweza ukajikanda kwa hayo maji.
Asante mkuu
 
Asante mkuu
Hua inaondoka yenyewe badiri mfumo wa maisha yako ya vyakula hio nyama inashuka chini sababu ndani tumbo unabebesha mzigo mzito bila vilainishi km maji au kula matunda yenye nyuzi nyuzi au kula vyakula rafiki na tumbo lako mfano mafuta mafuta mabaya mabaya unakula kwa Mama lishe mafuta yameexpire hamwagi anaungia tu mboga lazima uugue bawasiri

Unakaa muda mrefu bila kula unashindia maji ukifika muda wa kula unashindilia mavyakula ya baridi yaan hapo ndio unachochea bawasiri zaidi

Asubuhi haupashi tumbo joto mchana haupashi tumbo joto usiku haupashi tumbo joto hapo mjomba unachochea bawasiri, yaani ili bawasiri ipotee asubuhi pasha tumbo joto mchana pasha tumbo joto jioni pasha tumbo joto, kunywa kitu cha moto uji, chai, kahawa, supu, nk tumbo lipe joto sana sana asubuhi na jioni
 
Asante mkuu kwa ushauri
 
 
Inarudi tena
 
Tumeshaona tangazo lako, walipe JF kwa kuweka tangazo hili.

"Kazini watu si chini ya WANNE wamepasuliwa na kupona kabisa"

Hiyo kazi gani mnafanya mpaka kila mtu awe na bawasiri?
 
ilinitesa toka 2006 nikaja kupona kwa dawa ya kienyeji ya mama mmoja mutu ya musoma kwenye mwaka 2018. kuja kumfuatilia baadaye alishakufa. nililipa laki 1. mpaka leo niko gado.

ila huu gonjwa naona ni lifestyle zaidi ukiibadili wapona mazima.
 
Inarudi tena
Ndio inarudi tena ukikata inarudi tena ukikata inarudi tena hakuna cha dakitari hakuna cha nani hapo ni kubadiri mfumo wa maisha na mfumo wa chakula hakikisha tumbo linapata joto asubuhi mchana jioni weka kimiminika cha moto tumboni kuwezesha mmeng'enyo wa chakula na chakula kiweze kusukumwa kwa urahisi

Kingine tumia maziwa fresh fanya km unayagandisha alafu chemsha kunywa yakiwa ya moto unatoa nje takamwili zote utaharisha sana Ila inaweka tumbo sawa sikushauri unywe na Komamanga na Mlonge maana utaharisha zaidi Ila ukiweza kula tunda la Komamanga moja na majani ya Mlonge tafadhari sana usile vijiti chambua yale majani yake TU mitimiti na magome ya Mlonge pamoja na mbegu yasipoandaliwa kwa utaratibu maalum na kwa umakini na kula kuzidi kipimo ni Sumu itakusumbua ingawa utapona majani usile mengi hata ukisaga tumia machache tu usiweke mengi yatakusumbua yaliyokaushwa na kusagwa kipimo huwa ni kijiko kimoja kikubwa cha chakula unaweka kwenye uji kisha unakunywa inaenda kufanya kazi
 
Usifanye upaswaji. Kuna ile hosp zaman nyuma ya leaders club ilikua ya dokta Masau bingwa wa magonjwa ya moyo..pale nlikwenda nkaonana na physician mzungu. Akaniambia kuna mtu alimfanyia mara 7 ndio akapona mazima. Aliona aniweke waz risk za upasuaji.

Upasuaji sio. Sikushauri
 
Mfumo wetu wa maisha ni ngumu kuepuka magonjwa
 
Mfumo wetu wa maisha ni ngumu kuepuka magonjwa
Ndio hivyo kwanza picha linaanza maji yaan maji ndio kila kitu mwilini sasa ukikaa bila maji masaa 12 mwili unaanza kupata hitirafu kwenye mfumo wa chakula, sasa wengi wanaogua magonjwa ya mfumo wa chakula km bawasiri chanzo ni ukosefu wa maji mwilini pamoja na kutokuzingatia mlo kamili matunda matunda kwa wingi wanga kidogo mboga mboga kwa wingi snacks usiku na juice ya matunda, mfumo wetu wanga mwingi mboga mboga na matunda kidogo au matunda hakuna maji unakunywa dakika 1 baada ya kula wakati inatakiwa baada ya kula usubirie dakika 30 chakula kisagwe ndio uweke maji
 
Pia kukaa mda mrefu kitini mfano madereva,mafundi viatu,simu,ofisini,wabeba vyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…