KERO Upatikanaji wa Passport kwenye ofisi ya Uhamiaji pale Kibaha Mjini bado ni changamoto

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Joined
Sep 13, 2024
Posts
13
Reaction score
5
Ni muda sasa tangu watu wafanye maombi ya passport lakini hadi sasa hawajapata hizo passport.

Raia kila wakienda wanaambiwa changamoto ni mtandao. Ni miezi 6 sasa na wengine wanaambiwa wafanye maombi upya.

Je ni haki?

Uhamiaji wana matawi tofauti nchini. Kwanini wasiwape transfer waende kwenye matawi mengine?

Pia soma
~
Miezi mitatu nafuatilia Passport mpya, napigwa kalenda tu, ni kweli UHAMIAJI mmeishiwa material ya kuprinti Passport mpya?

~ Paul Mselle: Wenye changamoto ya kucheleweshewa “Passport” wafike ofisini watapata majibu
 
Wananchi waomba Serikali kuchukua hatua juu ya ofisi ya uhamiaji wilayani Kibaha mjini kwa kukwama kwa maombi ya passport kwa miezi kadhaa iliyopita, maafisa wakidai ni tatizo la kimfumo na hawasemi lini litakuwa sawa hivo linaleta ukakasi kwa wananchi ambao wamefanya maombi ya passport waomba serikali iingilie kati suala hili.
 
Ni muda sasa tangu watu wafanye maombi ya passport lakini hadi sasa hawajapata hizo passport.

Raia kila wakienda wanaambiwa changamoto ni mtandao. Ni miezi 6 sasa na wengine wanaambiwa wafanye maombi upya.

Je ni haki?

Uhamiaji wana matawi tofauti nchini. Kwanini wasiwape transfer waende kwenye matawi mengine?
Distance kutoka Kibaha mpaka uhamiaji Kurasini ni Masaa mawili.

Kama una unia na kila siku unazungushwa ungekuwa ushaenda na kuipata
 
Wananchi waomba Serikali kuchukua hatua juu ya ofisi ya uhamiaji wilayani Kibaha mjini kwa kukwama kwa maombi ya passport kwa miezi kadhaa iliyopita, maafisa wakidai ni tatizo la kimfumo na hawasemi lini litakuwa sawa hivo linaleta ukakasi kwa wananchi ambao wamefanya maombi ya passport waomba serikali iingilie kati suala hili.
Mkono mtupu haulambwi!
 
Hivi unakaa miezi 6 unasubiri Passport na upo Kibaha?

We jamaa unatuchosha tu, kwanza hauna shida ya passport wewe.

Miezi 6 unashindwa kwenda hapo kurasini?
 
Back
Top Bottom