Manyukikishompendo
Member
- Sep 13, 2024
- 13
- 5
Warejeshe pesa za watu kama wameshindwa kuwapa watu hati zaoWe endelea kufuata sheria na taratibu tu...utatumia mwaka na hujashika Gamba/Passport yako...nchi ngumu hii.
Distance kutoka Kibaha mpaka uhamiaji Kurasini ni Masaa mawili.Ni muda sasa tangu watu wafanye maombi ya passport lakini hadi sasa hawajapata hizo passport.
Raia kila wakienda wanaambiwa changamoto ni mtandao. Ni miezi 6 sasa na wengine wanaambiwa wafanye maombi upya.
Je ni haki?
Uhamiaji wana matawi tofauti nchini. Kwanini wasiwape transfer waende kwenye matawi mengine?
Wanatoaje pesa mara2 ikiwa makosa ni ya idara husika imekaaje hapoDistance kutoka Kibaha mpaka uhamiaji Kurasini ni Masaa mawili.
Kama una unia na kila siku unazungushwa ungekuwa ushaenda na kuipata
Mkono mtupu haulambwi!Wananchi waomba Serikali kuchukua hatua juu ya ofisi ya uhamiaji wilayani Kibaha mjini kwa kukwama kwa maombi ya passport kwa miezi kadhaa iliyopita, maafisa wakidai ni tatizo la kimfumo na hawasemi lini litakuwa sawa hivo linaleta ukakasi kwa wananchi ambao wamefanya maombi ya passport waomba serikali iingilie kati suala hili.
Ingekuwa ww offcer uhamiaji ungekuwa ni mtu wa corruptionMkono mtupu haulambwi!
Mkuu huenda! Nadhani hakuna idara corrupt Tanzania inayoishinda Uhamiaji.Ingekuwa ww offcer uhamiaji ungekuwa ni mtu wa corruption
Ngoja tusubiri tuoneMkuu huenda! Nadhani hakuna idara corrupt Tanzania inayoishinda Uhamiaji.
Hivi unakaa miezi 6 unasubiri Passport na upo Kibaha?
We jamaa unatuchosha tu, kwanza hauna shida ya passport wewe.
Miezi 6 unashindwa kwenda hapo kurasini
Hivi unakaa miezi 6 unasubiri Passport na upo Kibaha?
We jamaa unatuchosha tu, kwanza hauna shida ya passport wewe.
Miezi 6 unashindwa kwenda hapo kurasini?
Hivi unakaa miezi 6 unasubiri Passport na upo Kibaha?
We jamaa unatuchosha tu, kwanza hauna shida ya passport wewe.
Miezi 6 unashindwa kwenda hapo kurasini?
Unasemaa!We endelea kufuata sheria na taratibu tu...utatumia mwaka na hujashika Gamba/Passport yako...nchi ngumu hii.