Update Bodi ya Mikopo ya elimu ya juu!

Update Bodi ya Mikopo ya elimu ya juu!

Asante kwa kunipa moyo mkuu. Hivi kama mwanafunzi ataendelea kukaa nyumbani akisubiri mpaka ajue majibu ya mkopo je nafasi yake kwenye chuo husika inakuwepo kwa mida gani?
Kama alivosema mdau hapo kiongozi
 
Me naona ukikosa mkopo kwenye batch zote ni vizuri we nenda chuo then subiri dirisha la kuaapeal ukiapeal lazma upate mkopo 100% maana Kuna baadhi uwa wanafanyiwa allocation lakini chuo awaendi either tuition fee walipata ndogo ivyo basi pesa ikiludi Kule bodi wanapewa yote waliokuwa wamekosa kabisa tuulize sisi 2021/2022
 
Mimi IPO hv
Screenshot_20231020-221139.png

Shukrani sana ndugu yangu. Nimepata relief sasa maana kichwa kilishawaka moto tayari
 
Me naona ukikosa mkopo kwenye batch zote ni vizuri we nenda chuo then subiri dirisha la kuaapeal ukiapeal lazma upate mkopo 100% maana Kuna baadhi uwa wanafanyiwa allocation lakini chuo awaendi either tuition fee walipata ndogo ivyo basi pesa ikiludi Kule bodi wanapewa yote waliokuwa wamekosa kabisa tuulize sisi 2021/2022

Inategemea ila ni vizuri hasa Kama upo DSM na una vigezo ukaenda pale ofisini utapewa Mwongozo mzzuri.

Kwa mtoto kutoka Familia Masikini endapo umekosa mkopo Unabidi ujitahidi uwe DSM utasikilizwa na Kupata msaada .

Then mkifika chuo endeleeni kutengeneza mahusiano mazuri na Lectururer usione ugumu kumnunulia Mkufunzi soda hii itakusogeza Karibu na fursa za hapa na pale.

Then mwisho MAARIFA ni utajiri na huwezi kuwa na MAARIFA Kama hauyatafuti hivyo usitegemee kusoma tu mambo ya chuo pata wasaa wa kusoma vitabu mbalimbali vyenye personal growth au self-development.

Kuna Mdogo wa kike na. Kiume hasa nyie mnaotoka vijijini mnakuaga na Ego kuona kufika chuo kikuu ndo umemaliza na mwisho hiyo miaka 3 mnafanya Sana ngono kupita kiasi mnakosa mpaka nauli ya kurudi kijijini mnasikitisha Sana .

Maisha Ni constistence na sio short time archiving so ikiwa kitu unakitafuta ebu angalia Kama kitakupa mwendelezo wa kukufaidisha leo na Kesho na siku zijazo na sio kuwa mtu wa kuangalia vitu vya hapa tu. .

Kama kijana wa kiume Fahamu ngono kwa Sasa hasa DSM gharama yake ni sawa na bure hivyo usikubali kumpa demu wa chuo Pesa yoyote huku ngono Bei inaanzia 1500 na unaweza kukopa ukawa unalipa kila boom likitoka so fanya vitu kwa kiasi na kubwa kuzidi yote hakikia Kama utaweza kuwa mtu wa kiroho achana na anasa mtumikie Mungu maana huko ndo uzima ulipo.
 
Code:

Nakazia kazia hapo[emoji4]
 
Points muhimu sana
 
hapo nadhani usiwe na presha mkuu subiri batch 2 tarehe 27
Sina namna japo ni Mbali na chuo changu ndio wanafungua kesho yani,

Ila mbn HESLB hawajaelezea hii batch 1 wametoa kwa wanafunzi wenye vigezo vp ili tujue na tujipime km ndio kundi letu wengn au lah
 
Hapo kwenye kutaja vigezo walivyotumia ndo changamoto ,sema kikubwa weka imani kuwa utapata na kumuomba sana mwenyezi hamna kingine
 
Back
Top Bottom