Update hapa body count (idadi ya waliokulaza au uliowalaza) yako kila inapobadilika

Nina body count ndogo sana as napenda kuhusiana kwa mda mrefu kuliko hizi zenu vijana za hit n' run.

Sisi ni baadhi ya wazee wenye body count ndogo sana kutokana na tabia zetu njema kwa jamii japo tumeitwa wazee wa hovyo.. Grahams 😅😅😅
Haupo kwenye mambo ya kuchovyachovya mkuu
 
Nina body count ndogo sana as napenda kuhusiana kwa mda mrefu kuliko hizi zenu vijana za hit n' run.

Sisi ni baadhi ya wazee wenye body count ndogo sana kutokana na tabia zetu njema kwa jamii japo tumeitwa wazee wa hovyo.. Grahams 😅😅😅
Vijana wanaweka sana kuna mmoja ametoa ushuhuda hapo juu anakaribia kujaza Yutong ya 3 🤣
 
Back
Top Bottom