Update hapa body count (idadi ya waliokulaza au uliowalaza) yako kila inapobadilika

Wanawake wengi wametuzidi body count ila wakija watatupanga utasikia waliomlaza ni 3

Aliyembikiri
Aliyemtenda
Aliye naye sasa
Wao go hao...hawasemagi wale jamaa waokuwa friend zone then siku anapewa mbususu au walae jamaa wanaowatongozaga alafu siku ya siku nayo genye zimezidi anampa friendly match.
 
Wanafunzi 27
Mashangazi 19
Barmaids 31
Workmates 15
Malaya "one night stand" 82
Jumla 174
Mimi nitakuwa nimevuka hii record yako maana enzi za ujana wangu ulikuwa wa maji ya moto kweli kweli. Kwa Sasa najisikia tu kutunza Afya na kujisogeza zaidi kwa Mola kiroho. Kila saa naushangaa tu ukuu wa Mungu kwamba sebene zote sijaukwaa na kanijalia majembe hatari. Mtoto akiwa na tabia kama za ujana wangu nitapiga hadi nizimishe kijana
 
Inaonekana ulikuwa Moto sana mkuu
 
Back
Top Bottom