Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
Ndio maana nyie wazee wetu mliweza kujenga.Naunga mkono hoja, yaani pamoja na kuanza maisha ya mahusiano miaka 47 iliyopita lakini idadi unakuta ni wanne tu 🤗
Vijana wengi ni kulana hata kwa hit and run, malaya, wadangaji, wapenzi, e.t.c kijana under 35 tu real body count inacheza kati ya 10-20. Ukikutana na kijana wa hovyo body count inacheza kati ya 20-40. Kuna vijana mafisi zoazoa real body count 50 hadi 100+
Hizo K zote zina gharama si chini ya laki 1 hadi laki 5 🤣