Na usipende kabisa kuuliza swali la namna hiyo, utaishia kuumia nafsi tu. Wanalombwa sana miaka hii...Wanawake wengi wametuzidi body count ila wakija watatupanga utasikia waliomlaza ni 3
Aliyembikiri
Aliyemtenda
Aliye naye sasa
Sasa kwa kamala kipi kinakuvutiaNi kweli mkuu wengine hapa mpaka kina Kamala Harris tumepita nao
Umesema vyemaWanalombwa sana miaka hii...
π π€£ π π π π€£Kwa upande wangu mpaka sasa nimeshawakula girls 12. Nategemea idadi hii kudumu kwa miaka miwili mbele kutokana na mapambano yangu dhidi ya hali mbovu ya kiuchumi.
naonaga hiyo body count wanasisitiziwaga sana na iddy makengo, yaani wewe piga ua sema ni wawili tuuu, na wewe ndio watatu.Wanawake wengi wametuzidi body count ila wakija watatupanga utasikia waliomlaza ni 3
Aliyembikiri
Aliyemtenda
Aliye naye sasa
Huenda ikawa hivyo mkuu. Ila kwa sasa nimesitisha
Naunga mkono hoja, yaani pamoja na kuanza maisha ya mahusiano miaka 47 iliyopita lakini idadi unakuta ni wanne tu π€Nina body count ndogo sana as napenda kuhusiana kwa mda mrefu kuliko hizi zenu vijana za hit n' run.
Sisi ni baadhi ya wazee wenye body count ndogo sana kutokana na tabia zetu njema kwa jamii japo tumeitwa wazee wa hovyo.. Grahams π π π
Waje wajibu habari ya body counter au?Moderators na nyie muwe mnachangia mada tujue mna uelewa wa mambo Kwa kiasi gani, haya kujeni mjibu
Hivi kwani ngozi na nyama ipi bora?List of Shame πββοΈ
____________
1.Moro - 3
2.Moshi- 4
3.Dar - 5
Onyo: Kupiga ngozi hovyo sio sifa, kuna ngoma.
ππAsanteβΊοΈ
Na mimi ni mmoja wenu. Miaka 78 body count haizidi watano. What a decent life! ππΏπͺππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈNina body count ndogo sana as napenda kuhusiana kwa mda mrefu kuliko hizi zenu vijana za hit n' run.
Sisi ni baadhi ya wazee wenye body count ndogo sana kutokana na tabia zetu njema kwa jamii japo tumeitwa wazee wa hovyo.. Grahams π π π