Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
Ndio maana nyie wazee wetu mliweza kujenga.Naunga mkono hoja, yaani pamoja na kuanza maisha ya mahusiano miaka 47 iliyopita lakini idadi unakuta ni wanne tu π€
Kwa kweli Vijana wasipokomaa kulinda wallet zao, kujenga pamoja na kufanya maendeleo itakuwa vigumu sana miaka hiiNdio maana nyie wazee wetu mliweza kujenga.
Vijana wengi ni kulana hata kwa hit and run, malaya, wadangaji, wapenzi, e.t.c kijana under 35 tu real body count inacheza kati ya 10-20. Ukikutana na kijana wa hovyo body count inacheza kati ya 20-40. Kuna vijana mafisi zoazoa real body count 50 hadi 100+
Hizo K zote zina gharama si chini ya laki 1 hadi laki 5 π€£
Hawa watoto wa elfu mbili ni balaa, tena nyuma wamenawiri π€£π€£, na maufundi kama pornstar π€£π€£ Maendeleo na kujenga itabaki stori tu π€£Kwa kweli Vijana wasipokomaa kulinda wallet zao, kujenga pamoja na kufanya maendeleo itakuwa vigumu sana miaka hii
Siku hizi PisiKali ni nyingi tena zipo available 24/7 tena ni wataalamu hasa wa kurusha mguu Bara mguu Pwani
Ukifanya mchezo kipato chako chote kinaishia kwao tu π
Hahaha...........walivyo na tabia mbaya hadi kwasisi Wazee ukienda kichwa kichwa wanakula pension yoteHawa watoto wa elfu mbili ni balaa, tena nyuma wamenawiri π€£π€£, na maufundi kama pornstar π€£π€£ Maendeleo na kujenga itabaki stori tu π€£