UPDATE : Hatimaye mambo yamekaa vizuri kwa upande wangu na binti

Ila inawezekana usiwe na pesa na usiwe romantic?
Pia inawezekana.

Kama hela unazomaanisha wewe ni zile hela za mtu kuwa na uwezo wa kawaida wa kumudu mahitaji inawezekana vizuri ukawa romantic.

Mda mwingine hela na hisia bn ni vitu flan vina vary sana kutegemeana na ntu na ntu.
 
Andiko lote hili refu, ukilifinyanga pamoja kimaudhui linaonesha kuwa wewe ni mchanga sana kwenye suala zima la malove davi.

Haukatazwi kusifia, lakini sifa zote hizi ulitakiwa uzitoe kwa mwanamke anayestahili, mliyepata kuishi naye pamoja angalau kwa miaka 20 ukaujua ukweli halisi wa tabia zake!

Wanawake wote wanafanana kwa tabia za upole, unyenyekevu na upendo unapokuwa umewalenga 'kuwavusha', hakuna mwenye kasoro.

Baada ya kuishi naye muda wa kutosha ndipo utakuwa umeelewa uhalisia wa rangi zake ili upate haki sahihi za kumsifia.

Kwa sasa unaidanganya jamii pamoja na nafsi yako kwa matamanio ambayo yanaweza kubadilika muda wowote kabla haujaweza kuyaishi.
 
Hakika. Umejibu kwa hekima na uelewa mkubwa sana. Na pia ningetamani kumwambia pale Ccp pia kuna wakubwa na wenye vyeo na Pesa kama ma Regional Commissioner wa polisi ambao huja kuwatembelea waliopo kwenye mafunzo na "Kuwajulia Hali ". Nafikiri umenielewa. Na mwisho inabidi tumwambie kwamba Long distance relationship ni SCAM.
 
sio kwamba upo arusha ,sema upo arusha na umelala kama fala hauna hela ya kula 🀣🀣🀣🀣unasubria bwana akukulee , mjinga kwel wanakukula mpuuzi ,ninauwakika watu kama nyie ni jobless na kichwani vinyovinyo zmejaa nakupuuza
 
unaweza kuishi na mtu miaka 20 na akakupiga matukio ,sijaomba ushauri wako hapa kwan nimekuomba?wewe wako yupo wap?kila mtu anaoa baada yakukaaa na mtu miaka ishirini? usilinganishe stori yako na yangu
 
Simp ana matusi kishenzi ila pole pole tu dozi inamwingia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
nakutukana maana unajifanya unanijua ,mimi huku nina muda naweza kukutukana wiki nzma fala wewe
 
Sitajibu tena huku nashukuru kwa waliotoa positive comments hizo ndo nmechukua ,wenye chuki niwakumbushe kwamba i cannot care their comments hata sjamaliza kuzisoma na wala wao sio mungu bali wafocus na kutafuta hela ili wasikasirikie maisha ya watu maaana we dont give a damn ,and we dont care, i will come back to JF after a year with another post huku sipafungui tena nlichokipata on good comments ndo nmechukua Thank you.
 
sio kwamba upo arusha ,sema upo arusha na umelala kama fala hauna hela ya kula 🀣🀣🀣🀣unasubria bwana akukulee , mjinga kwel wanakukula mpuuzi ,ninauwakika watu kama nyie ni jobless na kichwani vinyovinyo zmejaa nakupuuza
Simp hanithi tulia dawa ikuingie. Unajichekesha chekesha nini? Tuma hela kuruta wako afirwe huku kwa raha zake. Eti unaanzisha uzi wa long distance relationship na kuruta wa polisi aliyeko depo. Una akili kweli wewe? Get your faggot stinky ass outta here MOFO!

Wasted sperm!
 
Unakimbia kwenda wapi simp hanithi wewe? Au dawa imekuingia sawasawa?

Na ukome kuanzisha nyuzi za ******* kuonyesha usimp wako halafu ukiambiwa ukweli unaanza kutukana.

Na next year ukija tena na ujinga wako huu utanikuta na nitakunyorosha simp wewe. Next year ukija I WANT you to behave like a decent man na siyo simp asiyejielewa. Tena zingatia zaidi negative comments maana ndizo zitakazokusaidia na kukujenga zaidi as a man.

Otherwise, Good riddance! πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘

 
unaweza kuishi na mtu miaka 20 na akakupiga matukio ,sijaomba ushauri wako hapa kwan nimekuomba?wewe wako yupo wap?kila mtu anaoa baada yakukaaa na mtu miaka ishirini? usilinganishe stori yako na yangu
Umepanick bure mdogo.

Ushauri wowote unapouona haukufai, 'unapita hivi'.

Kuanza kulaumu wadau wapita njia waliochangia mada uliyoiweka hadharani ni uduanzi wa kitoto sana.
 
Pitia huu kidogo.
 
Pia inawezekana.

Kama hela unazomaanisha wewe ni zile hela za mtu kuwa na uwezo wa kawaida wa kumudu mahitaji inawezekana vizuri ukawa romantic.

Mda mwingine hela na hisia bn ni vitu flan vina vary sana kutegemeana na ntu na ntu.

Basi kama hilo linawezekana na hilo unalopinga libawezekana pia.
 
Rubbish
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…