UPDATE: Mahujaji zaidi ya Elfu Moja wamefariki Makka. Hakuna Mtanzania aliyepoteza Maisha wala kujeruhiwa

Sasa wewe wanakuhusu nini umeshupalia? Hata unachosoma hukielewi? Unaambiwa waeathoiriwa na "heat wave", unaelewa maana ya "heat wave"?

Sisi tunasema kwa kuwa wamefariki katika njia ya Allah basi wana ujira mkubwa peponi.

Hupendi hilo kwa kuwa wewe haujajisalimisha kwa Muumba wako?

Sikuelewi "argument" yako ni nini? Au ni uoga tu wa Uislam?
Comments zako zinaonesha kana kwamba ni jambo jema kufa ukiwa umeenda kuhiji🤣🤣
Hao watu wangebaki nyumbani kwao tu yasingewakuta haya maana Saudi Arabia hamna cha maana cha kwenda kutalii kama dini yenu isingewalazimisha kupatembelea ili kutimiza hizo nguzo zenu za uislam
 
Acha chuki zako binafsi, sijakusemesha nimepongeza mahujaji wetu hawajafa sababu ya juhudi za maza, nako ni kosa?
Amejipa hatimiliki ya kumpongeza maza mwingine akifanya hivyo anaona wivu,nilishamshauri ajikite kwenye biashara ya familia yao ya uganga na kuchuna watu ngozi.
 
Luca kuna zawadi huku,ila kwa sharti la kuacha kuwa chawa je,utawezaaa🤭
Mimi siyo chawa.ephen ni wanguu na hata yeye anatambua kuwa mimi ni mwana CCM na siku ya sherehe lazima watu wavae nguo za kijani huku wapishi wakitinga Madera ya kijani.
 
Q
Comments zako zinaonesha kana kwamba ni jambo jema kufa ukiwa umeenda kuhiji🤣🤣
Hao watu wangebaki nyumbani kwao tu yasingewakuta haya maana Saudi Arabia hamna cha maana cha kwenda kutalii kama dini yenu isingewalazimisha kupatembelea ili kutimiza hizo nguzo zenu za uislam
Comments zako zinaonesha kana kwamba ni jambo jema kufa ukiwa umeenda kuhiji🤣🤣
Hao watu wangebaki nyumbani kwao tu yasingewakuta haya maana Saudi Arabia hamna cha maana cha kwenda kutalii kama dini yenu isingewalazimisha kupatembelea ili kutimiza hizo nguzo zenu za uislam

Kifo ni kimoja tu zinazopishana ni sababu, hakuna jema kama kufariki ukiwa katika njia ya Allah.

Kumbuka hilo.
 
Unafikiri utaiona pepo bila kuuingia umauti?

Ingekuwa rahisi kama unavyofikiria, watu wasingekufa kwa wingi mahospitalini, wacha vituo vya huduma ya kwanza.
Unafikiri umewazidi fikra hao walioweka hizo hospitali kwamba umewaza angle ambayo wao hawajaifikia?
 
Ningekuwa mvumbuzi kama halijawahi kufikiriwa kabla, au unaonaje?
Unadhani we ni smart sana kuliko hao waliokuletea dini?

Yani waliokufanya mpaka uone nchi yao ni sehemu iliyotukuka kiasi ufikirie atayekufa hapo ataenda moja kwa moja peponi.

Watu hao leo hii unataka kuwakosoa kuwa hawakuwa sahihi kuweka vituo vya afya kunusuru maisha ya watu katika hayo maeneo kwasababu wanakuwa wanawakatiri watu washindwe kupata ticket ya peponi?
 
Q

Kifo ni kimoja tu zinazopishana ni sababu, hakuna jema kama kufariki ukiwa katika njia ya Allah.

Kumbuka hilo.
Allah ndio nani bibi? Hebu tuongee Kiswahili au Kiingereza maana ndio lugha ambazo wengi tuko familiar nazo.
Hivyo vifo vya hao watu vimetokea kwa sababu ya heat wave huko Saudi Arabia sio mipango ya Mungu
 
Ila hii hija jamani mngeacha tu. Mbona inaleta majanga mengi hivi?? Nguzo za uislamu ni hizo nne hii hija Waarabu wamewachezea mchezo. Ni njia yao ya kuongeza watalii nchini kwao ili wapige pesa ndefu
Screenshot_2024-06-23-18-41-57-294_com.quoord.jamiiforums.activity.png
 
Allah ndio nani bibi? Hebu tuongee Kiswahili au Kiingereza maana ndio lugha ambazo wengi tuko familiar nazo.
Hivyo vifo vya hao watu vimetokea kwa sababu ya heat wave huko Saudi Arabia sio mipango ya Mungu
Sina uwezo wa kubadilisha jina kwa lugha nyingine, Allah ndiye mwenye sifa hizi:

Suratil Israa aya ya 110, “
 دْ عُوا فَلَھُ الأَسْمَاءُ الْحُسْنَ ق ىلُ ادْ عوُا للهَّ أوَْ ادْ عُوا الرَّحْمَانَ أَیًّا مَا تَ …
Maana yake, “Sema: “Mwombeni Allah au
mwombeni Rahman (Mwingi wa Rehema), kwa jina lolote mnalo mwita.
Kwani Yeye ana majina mazuri mazuri…”

ALLAAHU LLADHIY LAA ILAAHA ILLA HUWA (Yeye Ndiye
Mwenyezi Mungu Ambaye hapana mungu isipokuwa Yeye tu),
ARRAHMAANU (Mwingi wa rehema), ARRAHIYMU (Mwenye
kurehemu), AL-MALIKU (Mfalme wa milele), AL-QUDDUWSU
(Mtakatifu, ametakasika na sifa zote chafu), ASSALAAMU (Mwenye
kuleta amani), AL-MU-UMINU (Mtoaji wa amani), AL-MUHAYMINU
(Mwenye kuyaendesha Mwenyewe mambo Yake), AL-`AZIYZU (Mshindi
katika mambo Yake), AL-JABBAARU (Anayefanya analolitaka), ALMUTAKABBIRU
(Mkubwa), AL-KHAALIQU (Muumbaji), AL-BAARIU
(Mtengenezaji), AL-MUSAWWIRU (Mtia sura), AL-GHAFFAARU
(Mwenye kusamehe), AL-QAHHAARU (Mwenye nguvu juu ya kila kitu),
AL-WAHHAABU (Mpaji mkuu), ARRAZZAAQU (Mwenye kuruzuku),
AL-FATTAAHU (Hakimu), AL-`ALIYMU (Mjuzi wa kila kitu), ALQAABIDHU
(Mwenye kunyima au kuzuia), AL-BAASITU (Mwenye
kutoa), AL-KHAAFIDHU (Mfedheheshaji waovu), ARRAAFI`U
(Mpandisha daraja), AL-MU`IZZU (Mtoa heshima kwa amtakaye), ALMUDHILLU
(Mnyima heshima kwa amtakaye), ASSAMIY`U (Mwenye
kusikia), AL-BASIYRU (Mwenye kuona), AL-HAKAMU (Mwenye
kuhukumu), AL-`ADLU (Muadilifu), AL-LLATIYFU (Mwenye kujua
yaliyofichikana), AL-KHABIYRU (Mwenye kujua yaliyo dhahiri), ALHALIYMU
(Mpole), AL-`ADHIYMU (Aliye Mkuu), AL-GHAFUWRU
(Mwingi wa kusamehe), ASHAKUWRU (Mwenye kushukuru), AL-
`ALIYYU (Aliye juu), AL-KABIYRU (Aliye mkuu), AL-HAFIYDHU
(Mwenye kuhifadhi), AL-MUQIYTU (Mlinzi), AL-HASIYBU (Mwenye
kuhesabu), AL-JALIYLU (Wa hali ya juu), AL-KARIYMU (Mkarimu wa
hali ya juu), ARRAQIYBU (Mchungaji), AL-MUJIYBU (Mwenye kujibu),
AL-WAASI`U (Mwenye wasaa), AL-HAKIYMU (Mwenye hekima), ALWADUWDU
(Mwenye kupenda waja Wake), AL-MAJIYDU (Mwenye
utukufu), AL-BAA`ITHU (Mfufuaji), ASHAHIYDU (Mwenye kushuhudia
kila kitu), AL-HAQQU (Wa Haki), AL-WAKIYLU (Mtegemewa), ALQAWIYYU
(Mwenye nguvu), AL-MATIYNU (Aliye madhubuti), ALWALIYYU
(Mlinzi na Msaidizi), AL-HAMIYDU (Mwenye kusifika na
kila sifa njema), AL-MUHSIYU (Mwenye kuhesabu), AL-MUBDI-U
(Mwenye kuanzisha), AL-MU`IYDU (Mwenye kurejeza), AL-MUHYIYU
(Mwenye kuhuisha), AL-MUMIYTU (Mwenye kufisha), AL-HAYYU
(Mwenye uhai wa milele), AL-QAYYUWMU (Msimamia kila jambo), ALWAAJIDU
(Mtambuzi), AL-MAAJIDU (Wa kuheshimiwa), ALWAAHIDU
(Mmoja tu), ASSAMADU (Mwenye kukusudiwa kwa
kuabudiwa), AL-QAADIRU (Mwenye uwezo wa kufanya au
kutokufanya), AL-MUQTADIRU (Mwenye uwezo wa pekee juu ya kila
kitu), AL-MUQADDIMU (Mwenye kutanguliza), AL-MU-AKHIRU
(Mwenye kuakhirisha), AL-AWWALU (Wa Mwanzo), AL-AAKHIRU
(Wa Mwisho), ADHAAHIRU (Wa Dhahiri), AL-BAATINU (Wa Siri), ALWAALIYA
(Mpanga mipango ya watu), AL-MUTA`AALI (Mtukufu
Aliye juu), AL-BARRU (Mwema), ATTAWWAABU (Mwenye kupokea
toba za waja Wake), AL-MUNTAQIMU (Mlipa kisasi kwa waovu), AL-
`AFUWWU (Mwenye kusamehe madhambi), ARRAUFU (Mwenye
huruma), MAALIKU L-MULKI DHUL JALAALI WAL IKRAAMI
(Mfalme wa wafalme Mwenye utukufu na heshima), AL-MUQSITU
(Mtoaji haki sawa kwa kila anayestahiki), AL-JAAMI`U (Mkusanyaji
viumbe siku ya Mwisho), AL-GHANIYYU (Tajiri), AL-MUGHNIYU
(Mwenye kutajirisha), AL-MAANI`U (Mwenye kuzuia viumbe
visidhurike), ADHAARRU (Mwenye kudhurisha), ANNAAFI`U (Mwenye
kuleta nafuu), ANNUWRU (Mwenye nuru), AL-HAADIY (Mwongozaji
wa kheri), AL-BADIY`U (Mzuaji), AL-BAAQIYU (Mwenye kubakia
milele), AL-WAARITHU (Mwenye kurithi kila kitu), ARRASHIYDU
(Mwenye kuongoa waja kuiendea njia ya kheri), ASSABUWRU (Mwenye
kusubiri).”
Source /chanzo kutoka……
 
Kwa nini umeandika yote haya na unajua sitasoma?
 
Muda huu wanakula mabikira 72 Kila mmoja?

72* 1000 = wamelundikiwa mabikira 72000?
 
Back
Top Bottom