baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Sikwami popote bali kumsingizia mtu kifo hali ya kuwa haja fanya yeye ni accusation kubwa. Israel wenyewe wamekiri kuua hao waliokua wanakimbia concert ila sisi Huku tupo Busy kusingizia Hamas.Sitakataa wala kukubaliana na hii accusation. Mungu na Hamas wapi na wapi bro unakwama wapi?
Link ya chombo gani maana mimi sijaona link ya chombo chochote ?Kaweka link mkuu.
Leta hapa habari kamili acha kuruka ruka kama maharageThis is where I say get some screws okay bye!
Haya kachukue bikra zako 72 upambane nazoMiwili yote ilioharibika imeuliwa na Apache acheni Kusambaza Uongo na muogopeni Mungu, Hamas Hawana Silaha ya Kuunguza Magari na Miili vile.
Mateka tu wameshindwa kumpata hata mmoja,wataweza kutekeleza Hilo?Jibu ni Hamas kufukunyuliwa which is also very impossible.
Mateka sasa hivi walioachiwa na Hamas wote wanawasifia, Israel wanawafungia wasihojiwe, Twitter yote sasa hivi wanajua nani mkweli na nani muongo wamebakia tu wachache waeneza propaganda.Sitakataa wala kukubaliana na hii accusation. Mungu na Hamas wapi na wapi bro unakwama wapi?
Sawa na wewe siku ukikutana Na Muumba wako ukamulezee namna ulivyokua unashabikia mauaji ya wasio na hatia.Haya kachukue bikra zako 72 upambane nazo
Tunnel za Hamas ni bonge la network. Unadhani urban warfare ni jambo la mchezo. Pili hao mateka hawapo sehemu moja, huwa wanawahamisha mateka kwa hio hawapo kwenye location mojaMateka tu wameshindwa kumpata hata mmoja,wataweza kutekeleza Hilo?
Okay let's play a game. Umechulukiwa mateka wewe na Familia yako. Kwa bahati flani ukaachiwa. Unadhani utaenda kuongelea mabaya ya watesi wako huku ukijua bado wanashikilia familia yako iliyobaki? Kila mtu anafanya propaganda. Propaganda sio mbayaMateka sasa hivi walioachiwa na Hamas wote wanawasifia, Israel wanawafungia wasihojiwe, Twitter yote sasa hivi wanajua nani mkweli na nani muongo wamebakia tu wachache waeneza propaganda.
Ila wanaoachiwa na Israel hawatamaniki Wamevunjwa vunjwa na Sura hata unaweza usimjue.Okay let's play a game. Umechulukiwa mateka wewe na Familia yako. Kwa bahati flani ukaachiwa. Unadhani utaenda kuongelea mabaya ya watesi wako huku ukijua bado wanashikilia familia yako iliyobaki? Kila mtu anafanya propaganda. Propaganda sio mbaya
Lord have mercy on you ๐๐๐Ila wanaoachiwa na Israel hawatamaniki Wamevunjwa vunjwa na Sura hata unaweza usimjue.
Kuna Mateka wameachia wote, mfano Wa Thailand wote wameachiwa, Mateka anaachiliwa ana Smile na mpaka Gari linaondoka anawapungia mkono, huwezi force kitu kama hiki.
Nishakuekea juu hata husomi,Source?
Naomba nikupe one way ticket ukajiunge na Hamas kupigana huko Gaza. Inaonekana wewe ni pro Hamas Namba moja. Ukirudi naomba urudi na autograph ya Yahya SinwarIla wanaoachiwa na Israel hawatamaniki Wamevunjwa vunjwa na Sura hata unaweza usimjue.
Kuna Mateka wameachia wote, mfano Wa Thailand wote wameachiwa, Mateka anaachiliwa ana Smile na mpaka Gari linaondoka anawapungia mkono, huwezi force kitu kama hiki.
Na yale makombora mnayosema wanalipua vifaru Gaza vipi?Miwili yote ilioharibika imeuliwa na Apache acheni Kusambaza Uongo na muogopeni Mungu, Hamas Hawana Silaha ya Kuunguza Magari na Miili vile.
Hii ndio hoja ulioleta, umeleta uzi unashindwa kutoa ushahidi unahamia kwenye mipasho, na mimi nitakupa conncetion ukaimbe taarabu mijadala ya wakubwa wanaohoji ukweli huwezi.Naomba nikupe one way ticket ukajiunge na Hamas kupigana huko Gaza. Inaonekana wewe ni pro Hamas Namba moja. Ukirudi naomba urudi na autograph ya Yahya Sinwar
Rpg hazilipui magari kwa Kuunguza, na zikilipua ni kigari kimoja, tunaongelea mamia ya magari hapo parking kubwa,Na yale makombora mnayosema wanalipua vifaru Gaza vipi?
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Wewe kwenye title umeona nimeongelea Nova festival au Clemence Mtenga? Clemence alikuwa kwenye Kibbutz not in Reeim akiwa kwenye festival. Hahahhh nipeleke nikaimbe halafu nikirudi niendelee kukupasha okay?Hii ndio hoja ulioleta, umeleta uzi unashindwa kutoa ushahidi unahamia kwenye mipasho, na mimi nitakupa conncetion ukaimbe taarabu mijadala ya wakubwa wanaohoji ukweli huwezi.
Tukisema Hamas wapewe maua yao dhidi ya jeshi booora duniani lenye vikorokoro vyote tutakosea?Tunnel za Hamas ni bonge la network. Unadhani urban warfare ni jambo la mchezo. Pili hao mateka hawapo sehemu moja, huwa wanawahamisha mateka kwa hio hawapo kwenye location moja