Update: Marehemu Clemence Mtenga aliuawa Oct 7 na hakuwa kati ya mateka waliopelekwa Gaza. Taarifa zaidi zinaendelea hapa chino

Mateka sasa hivi walioachiwa na Hamas wote wanawasifia, Israel wanawafungia wasihojiwe, Twitter yote sasa hivi wanajua nani mkweli na nani muongo wamebakia tu wachache waeneza propaganda.
Okay let's play a game. Umechulukiwa mateka wewe na Familia yako. Kwa bahati flani ukaachiwa. Unadhani utaenda kuongelea mabaya ya watesi wako huku ukijua bado wanashikilia familia yako iliyobaki? Kila mtu anafanya propaganda. Propaganda sio mbaya
 
Sikwami popote bali kumsingizia mtu kifo hali ya kuwa haja fanya yeye ni accusation kubwa. Israel wenyewe wamekiri kuua hao waliokua wanakimbia concert ila sisi Huku tupo Busy kusingizia Hamas.
Source?
 
Okay let's play a game. Umechulukiwa mateka wewe na Familia yako. Kwa bahati flani ukaachiwa. Unadhani utaenda kuongelea mabaya ya watesi wako huku ukijua bado wanashikilia familia yako iliyobaki? Kila mtu anafanya propaganda. Propaganda sio mbaya
Ila wanaoachiwa na Israel hawatamaniki Wamevunjwa vunjwa na Sura hata unaweza usimjue.

Kuna Mateka wameachia wote, mfano Wa Thailand wote wameachiwa, Mateka anaachiliwa ana Smile na mpaka Gari linaondoka anawapungia mkono, huwezi force kitu kama hiki.
 
Lord have mercy on you 😆😆😆
 
Nishakuekea juu hata husomi,

Nakuekea tena

Gazeti pendwa la Israel polisi wenyewe wamekiri

Hapa habari kingereza

So ushahidi tunaotaka utupe hapa ni kwamba hakufa na hio Apache
 
Ila wanaoachiwa na Israel hawatamaniki Wamevunjwa vunjwa na Sura hata unaweza usimjue.

Kuna Mateka wameachia wote, mfano Wa Thailand wote wameachiwa, Mateka anaachiliwa ana Smile na mpaka Gari linaondoka anawapungia mkono, huwezi force kitu kama hiki.
Naomba nikupe one way ticket ukajiunge na Hamas kupigana huko Gaza. Inaonekana wewe ni pro Hamas Namba moja. Ukirudi naomba urudi na autograph ya Yahya Sinwar
 
Hii ndio hoja ulioleta, umeleta uzi unashindwa kutoa ushahidi unahamia kwenye mipasho, na mimi nitakupa conncetion ukaimbe taarabu mijadala ya wakubwa wanaohoji ukweli huwezi.
 
Na yale makombora mnayosema wanalipua vifaru Gaza vipi?

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Rpg hazilipui magari kwa Kuunguza, na zikilipua ni kigari kimoja, tunaongelea mamia ya magari hapo parking kubwa,

Hayo yameunguzwa, ni Apache Helicopter za Polisi wa Israel, Polisi wenyewe wa Israel wamekiri ni Wao, Hamas wamesema sio wao Ubishi wa nini?
 
Hii ndio hoja ulioleta, umeleta uzi unashindwa kutoa ushahidi unahamia kwenye mipasho, na mimi nitakupa conncetion ukaimbe taarabu mijadala ya wakubwa wanaohoji ukweli huwezi.
Wewe kwenye title umeona nimeongelea Nova festival au Clemence Mtenga? Clemence alikuwa kwenye Kibbutz not in Reeim akiwa kwenye festival. Hahahhh nipeleke nikaimbe halafu nikirudi niendelee kukupasha okay?
 
Tunnel za Hamas ni bonge la network. Unadhani urban warfare ni jambo la mchezo. Pili hao mateka hawapo sehemu moja, huwa wanawahamisha mateka kwa hio hawapo kwenye location moja
Tukisema Hamas wapewe maua yao dhidi ya jeshi booora duniani lenye vikorokoro vyote tutakosea?
 
Back
Top Bottom