denoo JG
JF-Expert Member
- Oct 27, 2023
- 2,701
- 9,759
Hamas kusema hawakujua kama kuna concert inafanyika maana yake nini?Hamas hawajashambulia hilo Eneo wao wenyewe press Conference yao wamesema hawakujua kama kuna Concert inafanyika, Walichukua tu kama Advantage,
Hii source Police Israel wakikiri waliua watu kwenye Concert
![]()
Israel admits it killed its own at Nova music festival
A police investigation shows Israeli Apache helicopters opened fire on attendees of the Nova music festival during the 7 October Hamas attacknew.thecradle.co
Magari yaliyoungua kuonesha kwamba Si Hamas
View attachment 2825816
Au unataka kusema pia, wanajeshi wa Israel walishambulia wenyewe ndani ya nchi yao?
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app