Update: Marehemu Clemence Mtenga aliuawa Oct 7 na hakuwa kati ya mateka waliopelekwa Gaza. Taarifa zaidi zinaendelea hapa chino

Update: Marehemu Clemence Mtenga aliuawa Oct 7 na hakuwa kati ya mateka waliopelekwa Gaza. Taarifa zaidi zinaendelea hapa chino

Hamas hawajashambulia hilo Eneo wao wenyewe press Conference yao wamesema hawakujua kama kuna Concert inafanyika, Walichukua tu kama Advantage,

Hii source Police Israel wakikiri waliua watu kwenye Concert

Magari yaliyoungua kuonesha kwamba Si Hamas

View attachment 2825816
Hamas kusema hawakujua kama kuna concert inafanyika maana yake nini?

Au unataka kusema pia, wanajeshi wa Israel walishambulia wenyewe ndani ya nchi yao?

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Tukisema Hamas wapewe maua yao dhidi ya jeshi booora duniani lenye vikorokoro vyote tutakosea?
I mean wangekuwa wamewajengea wananchi wa gaza ningewapa pongezi. Ila wao wanjificha halafu wanachi wa gaza wanakufa. Viongozi wakubwa wa Hamas ni mabilionea wankula nne huku wakishuhudia mapigano Qatar in 4K kwenye MacBook zao lol. Freedom fighting my foot.
 
Hamas kusema hawakujua kama kuna concert inafanyika maana yake nini?

Au unataka kusema pia, wanajeshi wa Israel walishambulia wenyewe ndani ya nchi yao?

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Huyu jamaa anatoa taarifa zake kwenye arab propaganda media. At this point kuna information war au vita za taarifa. Tuwe waangalifu
 
Hamas kusema klhawakujua kama kuna concert inafanyika maana yake nini?

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Maana yake walienda kuteka Waisrael, na sio Kuvamia Concert, raia wa Nchi nyengine wao hawana time nao, shida yao ni kuteka waisrael ili ku pressure Serikali ya Israel kuwaachia Huru wapalestina ambao wanashikiliwa jela za Israel bila makosa ama kuhukumiwa.

Baada ya kutokea hio Taharuki na watu kuanza kukimbia Polisi wa Israel wakaja na Helcopter za Apache na kuua Watu indiscriminately, bila kujali huyu Hamas ama huyu anatoka kwenye Concert ukionekana unakimbia unaliwa,

Na hata kabla Israel hajakiri kuua, watu walihoji nani kaunguza magari kwenye parking za hio Concert? Sababu Hamas hawana Silaha ya Kuunguza hayo magari yote kwa mpigo hivyo
 
Hamas kusema hawakujua kama kuna concert inafanyika maana yake nini?

Au unataka kusema pia, wanajeshi wa Israel walishambulia wenyewe ndani ya nchi yao?

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
The same Hamas inasema hostage ni Wageni kwao wakati wananchi wao wanawaacha wauawe. Hamas wanaosema hawana jukumu kwa maisha ya arab Palestinians na kwamba jukumu ni la Israel na UN na bad wanajiita freedom fighters
 
Huyu jamaa anatoa taarifa zake kwenye arab propaganda media. At this point kuna information war au vita za taarifa. Tuwe waangalifu
Wewe ndio mpuuzi nimeweka source Haaretz Gazeti kubwa zaidi Israel na Polisi wa Israel wenyewe wanakiri useme eti ni website za Kiarabu?

Huna tofauti na mtu anayegongewa mke wake, mke mwenyewe anakiri nimegongwa wewe bado unakomaa mke wako hajabanduliwa.

So wewe na Polisi wa Israel nani anajua zaidi?
 
You want me to read Arab propaganda? Nimesema arab propaganda not arab website. Know the difference dude. Unaniita mpuuzi let's see......umeresolve kutumia lugha chafu kwasababu nimekuambia ubaki kwenye topic. I talked about Clemence....stay on topic Abdul
 
So Haaretz wanaandika Arab propaganda? Prove it. Polisi wa Israel wanatoa Arab propaganda? Prove it
 
So Haaretz wanaandika Arab propaganda? Prove it. Polisi wa Israel wanatoa Arab propaganda? Prove it
Where are the interviews? According to the article it says a police source without further context. Haaretz in English is known to have far left leaning in reporting in order to boost traffic from anti israel sentiments and often times exaggerated. The Cradle inanirudisha pale pale kwa Haaretz. I see what you are trying to do homes. Unataka niseme yes, Clemence aliuawa na apache helicopter akiwa kwenye shelter si ndio? Is that what you want? Kama tutaongelea nova party iwe ni topic nyingine kabisa tofauti na Mtanzania mwenzetu alieuawa. What are you trying to prove with this article? It's okay kama unataka kuwa anti israel I don't care. It's okay if you want to be pro hamas. Ila usiletee insufficient articles zisizokuwa na further sources kupush your agenda. Thank you

NB: Na hii report ya police wakikanusha madai ya Haaretz?

Au hii:

At this point kila uoande unajitetea. Pro Hamas and Pro Israel propaganda. This is information war my dude
 
Mateka sasa hivi walioachiwa na Hamas wote wanawasifia, Israel wanawafungia wasihojiwe, Twitter yote sasa hivi wanajua nani mkweli na nani muongo wamebakia tu wachache waeneza propaganda.
Wanawasifia vipi mkuu?
 
Ndiyo maana nasisitiza hapo gaza wapige hapo Atomic bomb patulie kama masaki haya mambo yasijirudie tena
Muda si mrefu 2025 utasikia tz mbowe na wenziwe ni magaidi. Hapo ndio utapojua upumbu ulioandika humu. Mtaanza kutaka msaada wa kupiga kelele
 
Back
Top Bottom