Update: Mfano wa oda ya mbao kutoka Njombe kupeleka Dar es Salaam yenye mchanganuo wa gharama na vibali vyote

Update: Mfano wa oda ya mbao kutoka Njombe kupeleka Dar es Salaam yenye mchanganuo wa gharama na vibali vyote

Very informative content please naomba uelezee mbao zenye Dawa na ambazo hazina dawa

•Mbao zenye dawa ni zile mbao zilizofanyiwa matibabu ili kuongeza muda wa kuishi wa mbao kwa kuzikinga na wadudu kama mchwa, fangasi, na kuoza


•Kuna njia mbili za kutreat mbao ambazo ni kwa njia ya kuloweka kwenye dawa na kwanjia ya mtambo wa pressure na kemikali inaitwa CCA (Chromated Copper Arsenate)

•Mbao zilizotibiwa kwa kuloweka ndo zile huwa na rangi ya kijani maana wanaloweka tu kwenye pipa na kutoa.

•Mbao zilizokuwa treated na mtambo na CCA inakua ni Treated kweli kweli pia dawa ya CCA (Chromated Copper Arsenate) ambayo ni mchanganyiko wa Arsenic inayofanya kazi ya kuzuia wadudu waharibifu na Copper ambayo inafanya kazi ya kuzuia kuoza kwa Mbao inasaidia sana kwani inaingia ndani kabisa ya ubao.

•Mbao zilitobiwa kwa mtambo na CCA ni bora zaidi kuliko za kuloweka.

Karibu
 
Jiji la matapeli wanapaka rangi ya magumashi zionekane zina dawa, tupe namna ya kutambua mbao zenye dawa
Hiyo elimu ni kubwa kidogo naomba nije nitolee ufafanuzi wakati mwingine kwenye thread yake peke ake.
 
Back
Top Bottom