Muuzaji Mkuu
JF-Expert Member
- Jun 18, 2022
- 893
- 2,001
- Thread starter
- #41
Ni utaratibu husika.Mbona vibali vingi.waache wizi wao
Ni utaratibu husika.Mbona vibali vingi.waache wizi wao
Ni kweliIla kiufupi biashara ya vitu vya hardware uwa inalipa sana.
Naona ndo biashara ya uhakika ambayo hauwezi kupata hasara.
Nimeuza hardware miaka 12 japo haikuwa yangu.ila najua mzunguko wake wa hela ni uhakika
Sahihi kabisaBiashara zote ngumu tu. Ni kujipanga
Wapunguze wanakula halamNi utaratibu husika.
Una hela fungua hardware hautajuta.Biashara zote ngumu tu. Ni kujipanga
Mkuu hiyo mbona kidogo? kaulize wanaouza madawa na kemikali wanapata faida kiasi gani... Mtu anaagiza sulphuric acid 2.5lt kwa Tsh 20,000 anakuja kuuza hadi 100,000.. kuna mwingine niliona anauza dawa inatumika kwenye kilimo cha mbogamboga ambapo 1kg aliuza Tsh 1,050,000 huku yeye kaagiza kwa Tsh 156,000. Biashara nyingi zina faida ila ndo upate sasa watejaUna hela fungua hardware hautajuta.
Bei unapanga wewe na mteja hapindui.
Nitakupa MFANO wakati nauza hard ware.
Unanunia koki Kwa 6,000.wewe unauza 10,000
Unanunia msumeni Kwa 7,000.wewe unauza Kwa 10,000 hadi 12,000.
Unanunua elbow za half inch Kwa 3,00 wewe unauza 1,000 n.k
Yaani faida tu juuu ya faida.we angalia wamiliki wa hardware maisha yao
Nimezungumzia Kwa uzoefu WANGU KUHUSU HARDWARE.Mkuu hiyo mbona kidogo? kaulize wanaouza madawa na kemikali wanapata faida kiasi gani... Mtu anaagiza sulphuric acid 2.5lt kwa Tsh 20,000 anakuja kuuza hadi 100,000.. kuna mwingine niliona anauza dawa inatumika kwenye kilimo cha mbogamboga ambapo 1kg aliuza Tsh 1,050,000 huku yeye kaagiza kwa Tsh 156,000. Biashara nyingi zina faida ila ndo upate sasa wateja
•Mbao zenye dawa ni zile mbao zilizofanyiwa matibabu ili kuongeza muda wa kuishi wa mbao kwa kuzikinga na wadudu kama mchwa, fangasi, na kuoza
•Kuna njia mbili za kutreat mbao ambazo ni kwa njia ya kuloweka kwenye dawa na kwanjia ya mtambo wa pressure na kemikali inaitwa CCA (Chromated Copper Arsenate)
•Mbao zilizotibiwa kwa kuloweka ndo zile huwa na rangi ya kijani maana wanaloweka tu kwenye pipa na kutoa.
•Mbao zilizokuwa treated na mtambo na CCA inakua ni Treated kweli kweli pia dawa ya CCA (Chromated Copper Arsenate) ambayo ni mchanganyiko wa Arsenic inayofanya kazi ya kuzuia wadudu waharibifu na Copper ambayo inafanya kazi ya kuzuia kuoza kwa Mbao inasaidia sana kwani inaingia ndani kabisa ya ubao.
•Mbao zili
What about Cost??•Mbao zenye dawa ni zile mbao zilizofanyiwa matibabu ili kuongeza muda wa kuishi wa mbao kwa kuzikinga na wadudu kama mchwa, fangasi, na kuoza
•Kuna njia mbili za kutreat mbao ambazo ni kwa njia ya kuloweka kwenye dawa na kwanjia ya mtambo wa pressure na kemikali inaitwa CCA (Chromated Copper Arsenate)
•Mbao zilizotibiwa kwa kuloweka ndo zile huwa na rangi ya kijani maana wanaloweka tu kwenye pipa na kutoa.
•Mbao zilizokuwa treated na mtambo na CCA inakua ni Treated kweli kweli pia dawa ya CCA (Chromated Copper Arsenate) ambayo ni mchanganyiko wa Arsenic inayofanya kazi ya kuzuia wadudu waharibifu na Copper ambayo inafanya kazi ya kuzuia kuoza kwa Mbao inasaidia sana kwani inaingia ndani kabisa ya ubao.
•Mbao zilitobiwa kwa mtambo na CCA ni bora zaidi kuliko za kuloweka.
Karibu
tobiwa kwa mtambo na CCA ni bora zaidi kuliko w
•Kutibu kwa mtambo wa pressure na CCA ni gharama pia inatumia muda mwingi na mbao zake zinauzwa gharama kidogo.What about cost
Habari za muda huu,leo ningependa kutoa mfano wa oda ya mbao ya mteja anaezitoa wilaya ya njombe kuzipeleka Dar es salaam.
Hapo chini nitakuwekea mchanganuo wa gharama na vibali kila kitu,fatiliana na nami:
ENEO LA KUPAKILIA:
Mkoa: Njombe
Wilaya: Njombe
Kijiji: Uwemba
TAARIFA ZA ODA YA MBAO
•Mteja anataka mbao size mbili tu ambazo ni 2×2 na 1×4 kwaajili ya kusambaza kwenye workshop wanazotengeneza bedsofa kule dar es salaam.
•Mteja anataka kupakia gari nzima aina ya semi yenye Tani 30.
•Baada ya kuchanganua ukavu wa mbao ,uzito wa mbao na ukubwa gari tumefanya makadirio gari inaweza kupakia jumla pc 7500 za size 2×2 na 1×4.
•Baada ya makadirio tumekubaliana mbao moja atanunua kwa 1,200/= kwa size zote (2×2 na 1×4).
MCHANGANUO WA GHARAMA YA ODA KUANZIA MANUNUZI HADI VIBALI KILA KITU HADI ZINAFIKA DAR ES SALAAM.
•Manunuzi: 9,000,000/=
•Usafiri: 3,000,000/=
•Kupakia: 200,000/=
•Ushuru (3% ya manunuzi): 270,000/=
•TRA (2% ya manunuzi): 180,000/=
•Transit pass (TP): 15,000/=
•Ushuru wa TP (20% ya TP): 3,000/=
•Ushuru wa magogo: 50,000/=
•Kuhakiki uzito mizani: 15,000/=
•Barua ta serikali ya mtaa: 5,000/=
•Usafiri wakati wa kushughulikia vibali: 12,000/=
•Kukodi leseni ya kufanya biashara bidhaa za misitu: 150,000/=
•Emergency cash: 350,000/=
JUMLA: 13,250,000/=
NYARAKA MUHIMU ZILIZOANDALIWA KABLA GARI HAJAANZA RASMI KWENDA DAR ES SALAAM
•Kibali cha kufanya biashara za bidhaa za misitu (mbao)
•Transit Pass (TP)
•Barua ya serikali ya mtaa
•Risiti ya ushuru wa mbao wa halmashauri
•Risiti ya kodi ya mbao TRA
•Risiti ya ushuru wa magogo ya halmashauri
•Gari tuliyokodisha ina risiti ya EFD kama mtoa huduma
Mpaka hapo gari yenye mzigo inakuwa ipo tayari kuelekea jiji la matapeli kushusha mzigo kama ni mbagala,Gmboto,tegeta,buguruni au kokote kule ataamua mnunuzi.
View attachment 3545247
•Kama unahitaji kuuliza jambo lolote lile kuhusu mbao za njombe usisite kuwasiliana nami.
•Pia kama upo Dar es salaam,Dodoma,Kahama,Simiyu,mtwara,Pwani nk na unataka kununua mbao njombe usisite kunitafuta nitakusaidia kila kitu hadi mzigo unafika eneo husika.
MAWASILIANO
0748874928 (Piga/sms/whatsapp)View attachment 3545247
•Kodi machines pasua kisha uza mbao mbichiMimi nina shamba la miti kama eka 2
Lakini kila njkifikira kuuza miti hela naona ndogo sana napata,
Yani mti wananunua eti kwa sh 4,000 mti wenye zaidi ya miaka 10 kweli.?
Sijui nikapasue mwenyewe, miti ipo dabaga ndani ndani huko
Mkuu wa oda ya mbao chache kama 400 hivi mnapokea??•Kodi machines pasua kisha uza mbao mbichi
Ni sahihi umeamua kufanya final attemptHabari za muda huu,leo ningependa kutoa mfano wa oda ya mbao ya mteja anaezitoa wilaya ya njombe kuzipeleka Dar es salaam.
Hapo chini nitakuwekea mchanganuo wa gharama na vibali kila kitu,fatiliana na nami:
ENEO LA KUPAKILIA:
Mkoa: Njombe
Wilaya: Njombe
Kijiji: Uwemba
TAARIFA ZA ODA YA MBAO
•Mteja anataka mbao size mbili tu ambazo ni 2×2 na 1×4 kwaajili ya kusambaza kwenye workshop wanazotengeneza bedsofa kule dar es salaam.
•Mteja anataka kupakia gari nzima aina ya semi yenye Tani 30.
•Baada ya kuchanganua ukavu wa mbao ,uzito wa mbao na ukubwa gari tumefanya makadirio gari inaweza kupakia jumla pc 7500 za size 2×2 na 1×4.
•Baada ya makadirio tumekubaliana mbao moja atanunua kwa 1,200/= kwa size zote (2×2 na 1×4).
MCHANGANUO WA GHARAMA YA ODA KUANZIA MANUNUZI HADI VIBALI KILA KITU HADI ZINAFIKA DAR ES SALAAM.
•Manunuzi: 9,000,000/=
•Usafiri: 3,000,000/=
•Kupakia: 200,000/=
•Ushuru (3% ya manunuzi): 270,000/=
•TRA (2% ya manunuzi): 180,000/=
•Transit pass (TP): 15,000/=
•Ushuru wa TP (20% ya TP): 3,000/=
•Ushuru wa magogo: 50,000/=
•Kuhakiki uzito mizani: 15,000/=
•Barua ta serikali ya mtaa: 5,000/=
•Usafiri wakati wa kushughulikia vibali: 12,000/=
•Kukodi leseni ya kufanya biashara bidhaa za misitu: 150,000/=
•Emergency cash: 350,000/=
JUMLA: 13,250,000/=
NYARAKA MUHIMU ZILIZOANDALIWA KABLA GARI HAJAANZA RASMI KWENDA DAR ES SALAAM
•Kibali cha kufanya biashara za bidhaa za misitu (mbao)
•Transit Pass (TP)
•Barua ya serikali ya mtaa
•Risiti ya ushuru wa mbao wa halmashauri
•Risiti ya kodi ya mbao TRA
•Risiti ya ushuru wa magogo ya halmashauri
•Gari tuliyokodisha ina risiti ya EFD kama mtoa huduma
Mpaka hapo gari yenye mzigo inakuwa ipo tayari kuelekea jiji la matapeli kushusha mzigo kama ni mbagala,Gmboto,tegeta,buguruni au kokote kule ataamua mnunuzi.
View attachment 3545247
•Kama unahitaji kuuliza jambo lolote lile kuhusu mbao za njombe usisite kuwasiliana nami.
•Pia kama upo Dar es salaam,Dodoma,Kahama,Simiyu,mtwara,Pwani nk na unataka kununua mbao njombe usisite kunitafuta nitakusaidia kila kitu hadi mzigo unafika eneo husika.
MAWASILIANO
0748874928 (Piga/sms/whatsapp)View attachment 3545247
Ndio tunapokea bossMkuu wa oda ya mbao chache kama 400 hivi mnapokea??