UPDATE: Mtoto aliyechomwa moto na kulazimishwa kula kinyesi chake akatwa mkono

Naungana na mkuu hapo ju hakuugua kias cha kukatwa mkono,nadhan dawa na tecnolojia.Upande wa pili,naisi hata huyo mama ake Hakutegemea iwe kiac hcho,na nadhani saizi ANAJUTA
 
msipende kulea maovu mtu mzima unadhamiria nini kumchoma moto mtoto wa miaka 3?
wewe mbona hujiunguzi huna makosa, msipende kuwafanyia watu vitu ambavyo nyie hamjifanyii, huyu mama ni mkatili tu na kwa kweli hii sio tabia nzuri.
Amekatwa kwa kuwa amecheleweshwa matibabu, huyu mama alipaswa kumtibu haraka alikaa tu, to say ni mama mdogo! hebu wanawake tuache hizi roho za ajabu! Mungu amponye huyu mtoto na kumweka mikononi mwa watu wenye upendo, ni mdogo sana kukutana na haya
 
hili la mama mdogo haliniingia hata kidogo!

Hivi mpaka sasa huyo mama yupo uraiani jamani?

sometimes wanaume tunayasababisha haya

sasa babake yupo wapi??

Usikute njemba imeweka pregnancy tuh ikala kona

tukiona raha kukaa juu ya kifua tuone raha na majukumu ya kulea pia
ebo...!
 
sosoliso Thanda na mimi nivea nimejitolea tumchangie huyu mtoto hata chakula kuna jamaa ni jirani yake na huwa anaenda hospitali kumwona pia mimi nilitaja nimchukue nimlee nakumsomesha hata ikiwezekana imenigusa sana
 
Last edited by a moderator:

Ni mkoa gani yupo tafadhali Nivea unawezanijulisha haraka? Nani mlezi wake ambaye naweza wasiliana naye?...Kwa sasa niko Tanzania, nilipanga kuondoka leo ila nili-extend ticket kwa ajili ya mambo ya kifamilia kwani nilijua siwezi kurudi mara kwa mara.
 
Thanda huyu mtoto anaishi mbeya ,ni yatima fulani,amelkazwa hospitali ya mbeya,mlezi wake ndio huyo aliyemchoma yuko jela so sijui akitoka ataenda wapi tena sooo sad kwa kweli,ngoja niwasiliane na jamaa moja aliyekwenda hospitali kumwona labda ana weza tupa utaratibu jinsi yakumsaidia,mimi ninaishi DSM
 
Nivea, Nimekuwa Dar Kwa muda na sasa nimesafiri hadi Arusha, Na tarehe 2 Dec , Nitarudi RSA, ila familia yangu kwa sasa iko Dar, fanya utaratibu wa mawasiliano ili tuone jinsi ya kumsaidia...mimi niko tayari kabisa na wanajamii mlioko huko Mbeya, yeyote mwenye access ani-PM. Ila kama kuna mtu anayejua kuwa hana uhakika wa jambo linaloweza kurahisisha msaada wowote kumfikia huyo mtoto, asini-Pm kwani this is serious case.

Thanda huyu mtoto anaishi mbeya ,ni yatima fulani,amelkazwa hospitali ya mbeya,mlezi wake ndio huyo aliyemchoma yuko jela so sijui akitoka ataenda wapi tena sooo sad kwa kweli,ngoja niwasiliane na jamaa moja aliyekwenda hospitali kumwona labda ana weza tupa utaratibu jinsi yakumsaidia,mimi ninaishi DSM

Nivea ni-PM nikupatie contact zangu, then tuendelee kuwasiliana..Ningependa zoezi hili likafanyika kabla Mimi na Familia kuondoka....Asante sana NIVEA
 
Thanda baada yakuwasiliana na yule ndugu wa kwenye mbeyayetu blog kuwa atupe utaratibu tunataka kujitolea kidogo kumsaidia mtoto Anet alinijibu hivi:
'''asante nitawajulisha kesho maana mpaka sasa huyu mtoto yupo chini ya uangalizi wa hospitali ya mbeya .mama yake mzazi tumeambiwa ataingia kesho kutoka kagera sasa yupu DSM wengi wamependa kumchangia lakini hakuna wakumkabidhi mchango huokesho nitawajulisha mara tu mama yake mzazi akifika'''
namba yake ni hii hapa
+255 754 374408
 
Last edited by a moderator:
Jamani kuna vitu vingine vinafanyika Nadhani ni mapepo na si binadamu wa kawaida
 
Asante sana Nivea, Hapa jamii kuna mambo mengi, ni kama vile tunaonana ana kwa ana. Mungu akubariki sana...namba hii ni ya yule wa blog? acha nimpigie niongee naye. Binafsi naguswa na hili kwani hata mimi nina watoto, tena mdogo ana miaka minne, wa kike Nipha.
Thanda baada yakuwasiliana na yule ndugu wa kwenye mbeyayetu blog kuwa atupe utaratibu tunataka kujitolea kidogo kumsaidia mtoto Anet alinijibu hivi:
'''asante nitawajulisha kesho maana mpaka sasa huyu mtoto yupo chini ya uangalizi wa hospitali ya mbeya .mama yake mzazi tumeambiwa ataingia kesho kutoka kagera sasa yupu DSM wengi wamependa kumchangia lakini hakuna wakumkabidhi mchango huokesho nitawajulisha mara tu mama yake mzazi akifika'''
namba yake ni hii hapa
+255 754 374408
 
sosoliso Thanda na mimi nivea nimejitolea tumchangie huyu mtoto hata chakula kuna jamaa ni jirani yake na huwa anaenda hospitali kumwona pia mimi nilitaja nimchukue nimlee nakumsomesha hata ikiwezekana imenigusa sana

Nivea nashukuru sana kwa kuni-update kuhusu huyu mtoto. Pindi watakapotoa utaratibu wa kumsaidia hiyo kesho, mimi niko tayari nijulishe, nitakupigia simu kukukumbusha kwani muda huo inawezekana usiwe mtandaoni....namba zangyu na email yangu unayo na pia nimepiga zile namba za kwenye ile blog tumeelewana. Nawaomba na wanajamii wengine tumchangie kwani huenda ikatutokea siku moja na sisi kwani hatuna guarantee kwa watoto wetu kutopata shida.
 
Back
Top Bottom