Wanyongwe hadi wakikaribia kufa wazinduliwe kwa maji, halaafu wanyongwe tena, ila wasife, kila siku wao iwe ni kunyongwa tu..Alafu kuna watu wajiita watetezi wa haki za binadamu wanataka azabu yakifo iondolewe je watu km hawa wakipatikana wafanyweje sasa
Kuna watu wanakwambia mtu mweusi ni mteule, ana akili zaidi ya watu wote.Akili za mtu mweusi..Mungu tu atunusuru
Wachunguzwe kabisa kama akikutwa mmoja wao kitanzi mbele ya halaikiHakika,waganga waganga
Hii adhab ianze kutekelezwa kwa makosa kama haya, haiwezekani haya mambo mpaka karne hii yanaendelea
Katika zama hizi, adhabu ya kunyongwa hadi kufa ni adhabu muhimu mno, utekelezaji wake hauepukiki kwa mustakabali wa maisha ya watu wasio na hatia.
Hivi kweli jamani unaanzaje kumkata mtoto mikono? Na sijui walimkata akiwa hai au walimuua kwanza?
Mungu atawalipa sawasawa na walichokifanya, nimeumizwa sana.
Wapigwe haswaaaa kipigo cha mfungwa,walime zaidi ya wafungwa na baada ya hapo wanikabidhi niwatoe mafuta mwilini mwao mithili ya HitlerAlafu kuna watu wajiita watetezi wa haki za binadamu wanataka azabu yakifo iondolewe je watu km hawa wakipatikana wafanyweje sasa
Watu wanopata vyeo kwa njia za kikatili hizo ndio tunawatarajia watuletee maendeleo....Mambo ya uchaguzi hayo-kuelekea 2025
Hii adhab ianze kutekelezwa kwa makosa kama haya, haiwezekani haya mambo mpaka karne hii yanaendelea