Update: Mwili wa Mtoto Albino (Asimwe) wakutwa hauna baadhi ya viungo
binafsi sifahamu, sijui na wala sina hakika mrangi 🐒
Pole kama hufahamu
Ila huo ndiyo ukweli,wanasiasa na viongozi waganga na wao
Na sahvi uchagu,I unakaribia waganga wanapiga sana jela

Ova
 
Kampeni ya kuchinja waganga wa kienyeji ianze tu (sio hebalists)
 
Mara nyingi haya matukio ya maalbino kuuwawa huwa yanajitokeza mara nyingi mwaka mmoja kabla ya uchaguzi .

Inafikirisha sana.
 
Pole kama hufahamu
Ila huo ndiyo ukweli,wanasiasa na viongozi waganga na wao
Na sahvi uchagu,I unakaribia waganga wanapiga sana jela

Ova
binafsi Neema na Baraka za Mungu zimenistahilisha mpaka hapa nilipo sasa hivi,

true story yangu ya nilipogombea ubunge mara ya kwanza nikiwa na laki5, Mungu akanionyesha njia na sikua nina muda na habar ya ushirikina mpaka wa leo 🐒

na watu wengi hamjuangi tu kwamba I'm also apostle 🐒
 
nadhan washirikina sana ni washirikina wenyewe, wengine si wateja tu 🐒
Viongozi hao wanasiasa ni washirikina.....we kaa hivyo hivyo
Ukiwajua vzr hao hata huo uongozi unaoutaka kwenye siasa utaacha

Ova
 
Ukimkata akiwa amefariki unakuwa umevunja masharti
Eeeeh Mungu wangu, najaribu kuvuta picha ya mtoto akilia akiwa anakatwa viungo vyake nimelia machozi.

Mimi ndio maana sipendi mamlaka, ningeagiza upelelezi niletewe hao watu ningewafanyia waliyomfanyia huyo mtoto mwenyewe.
 
Najua umeumia. Ila kusema Mungu atawalipa ni unajidanganya

Ukweli imani juu ya Mungu na dini ni sababu kuu ya mauaji ya huyu mtoto albino.

Biblia na quran ndio chanzo cha yote haya.

Mtu yoyote anaeamini Mungu wa kwenye Biblia ama Mungu wa kwenye Quran yupo maana yake anaamini na uchawi upo pia.

Na hao hao wanaoamini uchawi ndio wanayoyafanya haya.

Mtu ambaye haamini uwepo wa Mungu anakuwa haamini na uwepo wa uchawi pia. Hivyo hawezi kuua albino maana anajua uchawi na waganga ni usanii tu.

Nchi ambazo haziamini biblia wala quran huwezi kukuta huu ujinga.

Japan, korea, china huwezi kukuta huu ujinga wa kuamini uchawi na waganga wa kienyeji
Usilolijua uchawi uko Dunia nzima hujafatilia tu kujua, unafikiri Africa hata kabla ya kuja dini walikuwa hawaamini katikati uchawi? Dini zimekuja na kukuta watu wakiamini na wakifanya mambo ya kishirikina Somo la historia nafikiri lilikupita au hata vita ya majimaji hukusoma
 
Ukimkata akiwa amefariki unakuwa umevunja masharti
Dahhhh!!! very sad for sure!! Ningetegemea operation nzito ikiendeshwa na ma rpc wa mikoa ya kanda ya ziwa kwa kila waganga mpaka wakamate viungo hivyo kisha watuhumiwa watiwe nguvuni.
 
Nchi hii inahitaji kufanya jitihada za kupambana na imani za kishirikina vichwani mwa watu. Ni ujinga mbaya sana.

Huyu malaika wa watu kauawa huko Kagera.
IMG_20240618_104158.jpg
 
Back
Top Bottom