Update: Mwili wa Mtoto Albino (Asimwe) wakutwa hauna baadhi ya viungo
mhhhh kweli masikini hawatakuwa na dhambi kama hizi ndo mbinu mnazotumia kupata pesa inasikitisha
 
Na mama akicheka na kurembua mauaji yatapamba ya albino yatapamba moto hadi Haji manara watamnyofoa pua yake
Watu wana roho mbayaaa wakikamatwa wanyongwe na mganga wao
 
The world is not fear, imagine Mungu asiwepo na wahuni hawa wanakua unpunished
 
Mauaji ya Zeruzeru huwa yanatokea kila uchaguzi unapokaribia hapa kuna namna
 
I couldn't agree more. Hakuna kitu kinaniuma kama mauaji ya albino.
Kipindi naisoma hii taarifa nikakumbuka jana nilikuwa na binti mmoja mwenye albinism akawa anasema yaani inakera sana mimi nahangaika kusoma hadi usiku wa manane ili nipate degree yangu nisaidie jamii halafu anakuja mtu hata darasa la saba hajamaliza nammanataka kuniua.
So sad yaani
 
Inaumiza sana.
 
aiseeee kuna watu wana roho mbaya sana, hawa wanapaswa kuuliwa wakipatikana
 
Waganga wa uchaguzi wanapenda sana hayo mambo.
 
Back
Top Bottom