Update: Mwili wa Mtoto Albino (Asimwe) wakutwa hauna baadhi ya viungo
Jeshi la polisi limeshikilia babs mtu sawa adhabu sahihi ni baba mtu kama (muhusika) na mganga wake wote wananyongwa.
 
Ningekuwa Mimi ndio Masauni, Dorothy Gwajimwo au IGP Wombura huo ugomvi pskechimbi

Watu kadhaa wangenyongwa na wao haki ipatikane
Hili tukio ni matokeo ya uzembe na kutowajibika kwa muda mrefu. Nchi inaachiwa imani za kishirikina ziwe ndiyo mila za wananchi. Umesikia yanayotokea huko Kigoma, tena yameanza muda mrefu kabisa na mkuu wa mkoa na viongozi wengine wateule wa rais wako kimya? Umesikia huko kuna kikundi eti kinaitwa kamchape, kazi yake ni kupita nyumba hadi nyumba kufukuwa uchawi na wachawi? Imani kama hizi ndiyo zikiachiwa kwa muda mrefu zinasababisha watu wawe na imani potofu. Huko YouTube nako kuna clips za waganga wengi wakihojiwa na kuelezea mambo ya kijinga kabisa.
 
Shida ni kwamba, unaweza kukuta wanaotakiwa kukemea na kupiga vita hivi vitendo ndio wanufaikaji wenyewe. Haiwezekani tukio la kikatili namna hii likapuuzwa au kutokupewa uzito unaostahili. Nimeumia sana kupita maelezo. Siku yote imeingia dosari.
Kigoma kuna kikundi kinaitwa kamchepe kinalindwa na polisi kuzunguka nyumba hadi nyumba kufukua uchawi na wananchi wanachanga fedha. Kuuawa kwa huyu mtoto ni matokeo ya imani potofu kama hizo.
 
View attachment 3020500

Nchi ambayo inashindwa kuwalinda malaika kama huyu (sorry pretty) tusamehe kushindwa kukulinda.

View attachment 3020501

Huyo poyoyo kama Makonda ni kwa utaratibu wenu wa Tanzania.

Utaratibu wangu mimi waliohusika kumdhuru huyo mtoto;

Mganga wake
Wahusika wa kununua viuongo
Waliomteka huyu mtoto
Na aliemlengesha huyu mtoto

Mimi mwenyewe ndio nitachukua maisha ya hao wahusika na wala sikosi usingizi.

Sijui kama ni jambo zuri au baya kwangu kutoishi nchi kama hiyo.

Kitu kimoja ninachojua ningekuwa Tanzania hata nisingekuwa jaji a lot of people would have died,

Kwa mimi nilivyo sipendi upumbavu watu kama hawa kata shingo
Iundwe task force ya kuwasaka mbwa wote walio na wanaohusika na iyo biashara, wateswe hadi ipelekee mauti
 
Kaniuma sana huyu binti mdogo sana, najaribu ku imagine venye alkua analia kuitetea nafsi yake wakati anafanyiwa unyama huo nabaki kutafakari tu..
 
Kaniuma sana huyu binti mdogo sana, najaribu ku imagine venye alkua analia kuitetea nafsi yake wakati anafanyiwa unyama huo nabaki kutafakari tu..
Haya mambo naona yanataka kurudi,hawa jamaa wamefanya ukatili wa ks-ng sana

Ova
 
Hili tukio ni matokeo ya uzembe na kutowajibika kwa muda mrefu. Nchi inaachiwa imani za kishirikina ziwe ndiyo mila za wananchi. Umesikia yanayotokea huko Kigoma, tena yameanza muda mrefu kabisa na mkuu wa mkoa na viongozi wengine wateule wa rais wako kimya? Umesikia huko kuna kikundi eti kinaitwa kamchape, kazi yake ni kupita nyumba hadi nyumba kufukuwa uchawi na wachawi? Imani kama hizi ndiyo zikiachiwa kwa muda mrefu zinasababisha watu wawe na imani potofu. Huko YouTube nako kuna clips za waganga wengi wakihojiwa na kuelezea mambo ya kijinga kabisa.
Sad

Nchi Ina mambo ya hovyo sana

Tatizo zaidi kama jamii kilichotokea kama vile jambo la kawaida.

Jamii mambo kama haya awalaani hasa huko kanda ya ziwa.

Inachoumiza how stupid is a five year old, halafu mtu anachukua hizo advantage. Kwangu mimi wa kunyongwa kwanza mganga tena week tu bada ya hukumu (mi mwenyewe na naangusha stuli) na
sikosi usingizi kuondoa mtu kama huyo.

How do you kill a child for its body parts, and we think it’s OK.

Shitty people
 
Kumbe wahaya nao wanahayo mambo, RIP inocent kid
Je kama ni watu kutoka Musoma, Mwanza au Tabora na wameenda kwa mganga huko kawaingiza mkenge kiimani na ndiyo wakafanya hayo..?! Sidhani kama kabila linahusika japokua mie sitokei kanda hiyo.. Ila ushirikina na imani za ki$enge ni jambo baya sana katika jamii yoyote na mkoa wowote hapa nchini na duniani..
 
Najua umeumia. Ila kusema Mungu atawalipa ni unajidanganya

Ukweli imani juu ya Mungu na dini ni sababu kuu ya mauaji ya huyu mtoto albino.

Biblia na quran ndio chanzo cha yote haya.

Mtu yoyote anaeamini Mungu wa kwenye Biblia ama Mungu wa kwenye Quran yupo maana yake anaamini na uchawi upo pia.

Na hao hao wanaoamini uchawi ndio wanayoyafanya haya.

Mtu ambaye haamini uwepo wa Mungu anakuwa haamini na uwepo wa uchawi pia. Hivyo hawezi kuua albino maana anajua uchawi na waganga ni usanii tu.

Nchi ambazo haziamini biblia wala quran huwezi kukuta huu ujinga.

Japan, korea, china huwezi kukuta huu ujinga wa kuamini uchawi na waganga wa kienyeji
Nakazia
 
Sad

Nchi Ina mambo ya hovyo sana

Tatizo zaidi kama jamii kilichotokea kama vile jambo la kawaida.

Jamii mambo kama haya awalaani hasa huko kanda ya ziwa.

Inachoumiza how stupid is a five year old, halafu mtu anachukua hizo advantage. Kwangu mimi wa kunyongwa kwanza mganga tena week tu bada ya hukumu (mi mwenyewe na naangusha stuli) na
sikosi usingizi kuondoa mtu kama huyo.

How do you kill a child for its body parts, and we think it’s OK.

Shitty people
kuwanyonga ni kifo rahisi dawa kuwachinja
 
Back
Top Bottom