matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Waganga ndio wa kudeal nao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitali,Hiz Mambo huwa zinatokea kila chaguz zikikaribia kufanyika.
Kabisa. Na hata elimu dhidi ya imani hatari inatakiwa kutolewa sana.Moral education inatakiwa kuwa compulsory
Unasema saiv tu ukishaka pale kwenye kiti mambo huwa ni tofauti, jmp pmj na ubabe aliokua nao ila kuna mambo alitulia kama mojaMambo kama haya ndo yananifanya mimi nisiwe rais, namna ambavyo nchi nngeiendesha JPM alikuwa bado sana.
Ishu kama hv zipo ndani ya uwezo wa viongoziUnasema saiv tu ukishaka pale kwenye kiti mambo huwa ni tofauti jmp pmj na ubabe aliokua nao ila kuna mambo alitulia kama moja
Hiki linawezekana kabisa. Inabidi upite msako mkali wa wapiga ramli. Kama ule wa tokomeza. Ifike wakati mganga muaguzi awe kama muuza gongo, jambazi au bangi.Ishu kama hv zipo ndani ya uwezo wa viongozi
Yn hapa ndo kama ile tunasikia jambazi alitaka kutoroka tukamuua bahati mbaya, sasa ndo inatakiwa ifike huku, waseme watuhumiwa walitaka kutudhuru hvy tukajihami kwa kuwaua kwa bahati mbaya.Hiki linawezekana kabisa. Inabidi upite msako mkali wa wapiga ramli. Kama ule wa tokomeza. Ifike wakati mganga muaguzi awe kama muuza gongo, jambazi au bangi.
Marehemu magufuli aliweza kuzuia uhuru wa vyombo vya habari.Magufuli alikomesha hii tabia, naona imeanza kurudi
Ni wapi huko? Mkoa gani?TUMESHINDWA KUMLINDA, WAMEMUUA BINTI YETU ASIMWE, WAMECHUKUA BAADHI YA VIUNGO VYAKE💔
Baada ya kupotea kwa siku kadhaa asijulikane alipo. Hatimae siku ya jana mwili wa binti huyo mdogo mwenye ulemavu wa ngozi (Albino) kwa jina la Asimwe ulikutwa kichakani umeviringishwa kwenye fuko huku baadhi ya viungo vyake vya mwili vikiwa vimetolewa.
Wanadamu tumekosa utu, tusamehe binti yetu mzuri tumeshindwa kukulinda, tamaa ya madaraka, mafanikio ya haraka, imani potofu, vimeondoa uhai wako. Hatujui ulijiteteaje wakati wanakutoa uhai, ulikuwa unawatazama au walikufunga macho💔. Imeharibika dunia.