UPDATE: Vitoto vya nyoka nyumbani kwangu

Hii picha nitamu sana,sana limehamia kwangu,hapo awali tulisha ua vifaranga vya nyoka kama vitano hapa nyumbani ,sasa leo usiku huu kaonekana Mkubwa mmoja alikutana na mdogo wangu WA kike tena uani alipo mwona tuu dogo kapiga kelele nyoka akakimbia,mpka muda huu saa nane uiku sijalala nipo uani nimebana kwenye kona huenda nita mwona nimwanzishie uzuri siogopagi.
 
Kuwa makini na kuona vitoto vya nyoka mazingira ambayo hakuna nyoka au mtu hutarajii kuona nyoka hasa mijini kati na unapokuwa na nyumba nzuri yenye milango isiyoruhusu nyoka kuingia, mazingira masafi, etc.

Zaidi ni ile ndoto uliyoota ya kuona nyoka wengi. Watu watasema ni kwa sababu ya woga, mmmh! Kifupi, chukua hatua mapema, omba Mungu jitakase wewe na maisha yako. Sakata la nyoka ni dadili ya uvamizi wa roho za giza maishani, take it seriously!
 
""wamenijalia hadi wamenifunika wanaingilia puani wanatokea masikioni na mdomoni na machoni na vidole vimegeuka nyoka.""

🤔🤔🤔🤔Kwa ninavowajua hao nyokaz Kuna sehemu waliingia na kutokea haujataja hapo....
 
Its just a baby snake mom it cant do you nothing'.
 
Yes ni ka jasiri namshukuru Mungu
Kwa taarifa tu, Pacha hawezi kung'atwa na nyoka, labda ung'atwe wewe. Nyoka akimuona pacha anazubaa na kukosa hata nguvu ya kukimbia.

Bibi yangu kazaa mapacha mara tatu(Hadi aliitwa mama mbasa)

Mama yangu mzazi kazaa mara moja,

Dada zangu wawili (Watoto wa mama mkubwa) Kila mmoja kazaa mara moja, na kuna mtoto wa dada yangu mmoja wapo hapo juu kazaa mara moja.

Pacha huwa hawang'atwi na nyoka ndo mana huyo dogo aliweza kuwaua nyoka kirahisi.
 
Nlijua ukweli kumbe mzushi tuusituchukulie poa
 
Naomba tenda ya kukufanyia furmigation my no is 0746111608
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…