Sax
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 3,578
- 6,740
Anaitwa Blind Snake hana sumu na hang'ati.Sio jongoo.Ni kinyoka
Hakanaga madhara haka kajamaa wengi wanadai ukikutana nae kuna bahati hapo mbele..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaitwa Blind Snake hana sumu na hang'ati.Sio jongoo.Ni kinyoka
Kuwa makini na kuona vitoto vya nyoka mazingira ambayo hakuna nyoka au mtu hutarajii kuona nyoka hasa mijini kati na unapokuwa na nyumba nzuri yenye milango isiyoruhusu nyoka kuingia, mazingira masafi, etc.Hii ni UPDATE ya Post yangu ya jana.
Hakika leo nimeamini mtoto wa nyoka ni nyoka na mtoto wa kiume ni mwanaume mana usiku wa jana sijalala kabisa.
Kuna muda nilipitiwa usingizi ila niliota ndoto mbaya kuwa nyoka wamejaa mvunguni hadi wananyanyua kitanda na wengine wamenijalia hadi wamenifunika wanaingilia puani wanatokea masikioni na mdomoni na machoni na vidole vimegeuka nyoka.
Very creepy nikashituka nikawasha taa, nikakung'uta shuka nikatandika tena nikakaa nikiperuzi mtandaoni hadi 12 kasoro ambao ni mida ya twins wangu kuamka na wakiamka break ya kwanza kuja kunisalimia.
Kwa vile pia ni mida ya walinzi kuondoka nikampigia simu mlinzi na kumuomba aende dirishani kwao awaamshe then awaambie wasishuke vitandani kwao kuna nyoka kaingia ndani kwetu mpaka masai aje amuue ndo washuke kitandani.
Hapo nilishampigia jirani yangu amuombe mlinzi wake wa kimasai aje anisaidie kuua nyoka.
Bahati nzuri jana kabla sijaingia bafuni nilienda vyumbani kwa twins wangu (Nina mapacha wa kiume na kike 10yrs) kuhakikisha wamechomeka net zao vizuri.
Baada ya muda nikasikia mlango wa chumban kwangu unagongwa. Nikajiuliza masai kaingiaje ndani kwetu wakati ndo kwanza najiuliza hapa akija nitashukaje kitandani kwenda kumfungulia mlango. Nani kamfungulia?
Wakati bado najiuliza nasikia mlango unagongwa tena then sauti ya pacha wangu wa kiume inaita mom mom!
Nikaogopa kwanini hichi kitoto hakisikii nikamwambia why did you leave your bed do you want the snake to bite you.?
.
Son:Mom!
Me:If I hear one more mom from your mouth I'll bit you today!Go back to your bed until Masai comes.
Son:Mom do you know who killed that baby snake we saw some weeks ago?
Huku ninatetemeka nikauliza
Me: Did you kill it?
Son:Yes mom! I played with it a lil then I stepped on it!
Me!Jeeeeesuuusssss!Whaaaaaaaat!?
Son:Even last time we went to visit grandma me and my friend killed a very big snake that wanted to eat grandmas chicks!
Me:Yeeeeesuuuu na Maria!Eti nini!?
Son;Mom!
Me:Enheee!
Son:How big is the snake in your bathroom mom?
Me:It is a baby snake just like the one you stepped on!
Akachekaaaa halafu akaniambia
"We d'ont need Masai for that momy!I'll kill it....Can I open the door.?
Mwanangu alivyoingia nikasema siwez kujificha kitandan nimuache aende kwenye hatari mwenyewe.
Nikashuka kitandani huku natetemeka. Alivyotaka kufungua mlango wa bafuni nikawaza hiv tukifungua halafu tukakuta kale katoto kako na mama yake na baba yake nitafanyaje.
Nikamwambia mwanagu usifungue acha tu Masai anakuja sasa hivi ila mwanangu nahisi alijifanya hajasikia akafungua mlango akaingia ikabidi na mim nimfuate huku natetemeka lkn hatukuona kitu sakafuni wala popote ila baada ya muda nikakaona kwenye kona ya ukuta na nikivyokaona tu ujasiri ukaniisha nikapiga yowe nikatoka mbio huku namvuta mwanangu mpaka chumban lkn bahat mbaya nikataka kudondoka nikamuachia mkono.
Nilivyoachia tu mkono wake mwanangu akarudi bafuni akaenda kuua kale kanyoka then akatoka nako huku kakaweka kwenye karatasi ananiambia huku anacheka "Its just a baby snake mom it cant do you nothing'.
Kale ka kike kule chumbani kalivyosikia napiga yowe na kenyewe kakapokea ikawa ni mayowe plus plus.
Watu wa fummigation wamesema wanakuja ila mpaka saa hiz hawajaja. Nimepuliza rungu 13 nyumba nyumba yote inanuka dawa.
Huyo pichani ndo mwamba alofanya nilale bila kuoga, nisipate usingizi nibane haja ndogo kwa zaidi ya masaa manne.😬
View attachment 2589175
Mkasa ulipoanzia, soma: Vitoto vya nyoka nyumbani kwangu
Its just a baby snake mom it cant do you nothing'.Hii ni UPDATE ya Post yangu ya jana.

Huyo pichani ndo mwamba alofanya nilale bila kuoga, nisipate usingizi nibane haja ndogo kwa zaidi ya masaa manne.[emoji51]
View attachment 2589175
Mkasa ulipoanzia, soma: Vitoto vya nyoka nyumbani kwangu
Kwa taarifa tu, Pacha hawezi kung'atwa na nyoka, labda ung'atwe wewe. Nyoka akimuona pacha anazubaa na kukosa hata nguvu ya kukimbia.Yes ni ka jasiri namshukuru Mungu
Uandishi wa DUME kabisa huu.Usijeshangaa nimekuzid ugumu mkuu😀 na kuogopa nyoka sio ushua.Hata wewe kuna kitu chako unaogopa
Nlijua ukweli kumbe mzushi tuusituchukulie poaHii ni UPDATE ya Post yangu ya jana.
Hakika leo nimeamini mtoto wa nyoka ni nyoka na mtoto wa kiume ni mwanaume mana usiku wa jana sijalala kabisa.
Kuna muda nilipitiwa usingizi ila niliota ndoto mbaya kuwa nyoka wamejaa mvunguni hadi wananyanyua kitanda na wengine wamenijalia hadi wamenifunika wanaingilia puani wanatokea masikioni na mdomoni na machoni na vidole vimegeuka nyoka.
Very creepy nikashituka nikawasha taa, nikakung'uta shuka nikatandika tena nikakaa nikiperuzi mtandaoni hadi 12 kasoro ambao ni mida ya twins wangu kuamka na wakiamka break ya kwanza kuja kunisalimia.
Kwa vile pia ni mida ya walinzi kuondoka nikampigia simu mlinzi na kumuomba aende dirishani kwao awaamshe then awaambie wasishuke vitandani kwao kuna nyoka kaingia ndani kwetu mpaka masai aje amuue ndo washuke kitandani.
Hapo nilishampigia jirani yangu amuombe mlinzi wake wa kimasai aje anisaidie kuua nyoka.
Bahati nzuri jana kabla sijaingia bafuni nilienda vyumbani kwa twins wangu (Nina mapacha wa kiume na kike 10yrs) kuhakikisha wamechomeka net zao vizuri.
Baada ya muda nikasikia mlango wa chumban kwangu unagongwa. Nikajiuliza masai kaingiaje ndani kwetu wakati ndo kwanza najiuliza hapa akija nitashukaje kitandani kwenda kumfungulia mlango. Nani kamfungulia?
Wakati bado najiuliza nasikia mlango unagongwa tena then sauti ya pacha wangu wa kiume inaita mom mom!
Nikaogopa kwanini hichi kitoto hakisikii nikamwambia why did you leave your bed do you want the snake to bite you.?
.
Son:Mom!
Me:If I hear one more mom from your mouth I'll bit you today!Go back to your bed until Masai comes.
Son:Mom do you know who killed that baby snake we saw some weeks ago?
Huku ninatetemeka nikauliza
Me: Did you kill it?
Son:Yes mom! I played with it a lil then I stepped on it!
Me!Jeeeeesuuusssss!Whaaaaaaaat!?
Son:Even last time we went to visit grandma me and my friend killed a very big snake that wanted to eat grandmas chicks!
Me:Yeeeeesuuuu na Maria!Eti nini!?
Son;Mom!
Me:Enheee!
Son:How big is the snake in your bathroom mom?
Me:It is a baby snake just like the one you stepped on!
Akachekaaaa halafu akaniambia
"We d'ont need Masai for that momy!I'll kill it....Can I open the door.?
Mwanangu alivyoingia nikasema siwez kujificha kitandan nimuache aende kwenye hatari mwenyewe.
Nikashuka kitandani huku natetemeka. Alivyotaka kufungua mlango wa bafuni nikawaza hiv tukifungua halafu tukakuta kale katoto kako na mama yake na baba yake nitafanyaje.
Nikamwambia mwanagu usifungue acha tu Masai anakuja sasa hivi ila mwanangu nahisi alijifanya hajasikia akafungua mlango akaingia ikabidi na mim nimfuate huku natetemeka lkn hatukuona kitu sakafuni wala popote ila baada ya muda nikakaona kwenye kona ya ukuta na nikivyokaona tu ujasiri ukaniisha nikapiga yowe nikatoka mbio huku namvuta mwanangu mpaka chumban lkn bahat mbaya nikataka kudondoka nikamuachia mkono.
Nilivyoachia tu mkono wake mwanangu akarudi bafuni akaenda kuua kale kanyoka then akatoka nako huku kakaweka kwenye karatasi ananiambia huku anacheka "Its just a baby snake mom it cant do you nothing'.
Kale ka kike kule chumbani kalivyosikia napiga yowe na kenyewe kakapokea ikawa ni mayowe plus plus.
Watu wa fummigation wamesema wanakuja ila mpaka saa hiz hawajaja. Nimepuliza rungu 13 nyumba nyumba yote inanuka dawa.
Huyo pichani ndo mwamba alofanya nilale bila kuoga, nisipate usingizi nibane haja ndogo kwa zaidi ya masaa manne.[emoji51]
View attachment 2589175
Mkasa ulipoanzia, soma: Vitoto vya nyoka nyumbani kwangu
Naomba tenda ya kukufanyia furmigation my no is 0746111608Hii ni UPDATE ya Post yangu ya jana.

Unizigi ugumu wewe, unaogopa kajongooo 🤣🤣🤣Usijeshangaa nimekuzid ugumu mkuu😀 na kuogopa nyoka sio ushua.Hata wewe kuna kitu chako unaogopa