UPDATE: Vitoto vya nyoka nyumbani kwangu

Pole, kuna jirani yangu yeye alimuona tandu usiku, asubuhi kakimbiza familia wakaja watu kumfanyia usafi walichokuta ni tandu wa zamani aliyekufa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie kuna siku niliona kitu cheusi kutoka dirishani kinanyenyereka kuishia kwenye pazia. Ama sikuwaza hata mara 2 nilikuwa namuogesha mtt mchanga kwenye beseni nilivuta taula tu nikainuka mbio. Najiuliza sijui nini hiki...ikabidi tufanye kazi na dada ya kutoa baadhi ya vitu na kupulizia spray ya wadudu mpk nikahakikisha chupa yote imeisha. Ajabu hatukuona kitu kutokeza. Ila ilipofika usiku namuona tandu juu ya kabati la drawers kalegea kwa dawa...tukajua huyu ndie alotushughulisha. Sehem tulokuwa tunakaa kulikuwa na tandu wengi
 
Eweeee
 
Sie wenyewe tandu walikuwa wengi sana kumuona ndani sio ajabu, ila alivyo na speed ukimuona tu maramoja ukapiga ukope hayupo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaitwa Blind Snake hana sumu na hang'ati.
Hakanaga madhara haka kajamaa wengi wanadai ukikutana nae kuna bahati hapo mbele..
Kwa hiyo haviwi na umbo kubwa?
Ngojea niingojee hiyo bahati mkuu.
 
Reactions: Sax
Imani nyingi za kweli na uwongo zinahusishwa na mapacha ila kitu kimoja ni hakika they are special
 
Poleni 😬😬
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…