Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Mie kuna siku niliona kitu cheusi kutoka dirishani kinanyenyereka kuishia kwenye pazia. Ama sikuwaza hata mara 2 nilikuwa namuogesha mtt mchanga kwenye beseni nilivuta taula tu nikainuka mbio. Najiuliza sijui nini hiki...ikabidi tufanye kazi na dada ya kutoa baadhi ya vitu na kupulizia spray ya wadudu mpk nikahakikisha chupa yote imeisha. Ajabu hatukuona kitu kutokeza. Ila ilipofika usiku namuona tandu juu ya kabati la drawers kalegea kwa dawa...tukajua huyu ndie alotushughulisha. Sehem tulokuwa tunakaa kulikuwa na tandu wengiPole, kuna jirani yangu yeye alimuona tandu usiku, asubuhi kakimbiza familia wakaja watu kumfanyia usafi walichokuta ni tandu wa zamani aliyekufa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]