kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Ile kona imetokea wapi????? Kama line2 kaamini mpira umevuka mstari kona imekujaje pale hahahahahahahahah
Ndio maana nimesema waamuzi mechi iliwashinda. Kama sio goli maanake ilitakiwa iwe ni goal kick.
Kona inakujaje sasa mbona huelezei ?Refa mpira ulimshinda. Na timu zote mbili (yanga na lipuli) zimekuwa zikionewa kwa maamuzi yasiyo sahihi. Kama kuhusu mpira aliutema Metacha na kugonga mwamba. Kama unaona Lipuli walinyimwa goli basi tuweke hapa picha ikionesha mpira umevuka mstari
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini mpira wa goal kick kuwekwa kuwa kona idhihirishe kuwa yanga kabebwa badala ya kusema yanga kaonewa?Kona inakujaje sasa mbona huelezei ?
Ndio ututhibitishie ya kuwa yalikuwa halali kabisa lakini lipuli wameonewa. Uthibitisho uwe kama ushahidi wa picha hapa chini ili tuchambue kiufundi badala wa mihemuko ya usimba na uyanga
Vipi na lile lingine , metacha hajafanyiwa foul na nonga hakuwa offside mpira ukatinga nuyavuni?Hakuna goli pale ,
Mpira haujavuka msitari ,
Yanga kaonewa kwa kuwekwa kona
Yanga ndio wameonewa hakuna ile haikuwa kona marefa wa kibongo ni wapumbavu sana ndio maana Mo anawahonga sana.
Wanaojadili sio clouds tu vyombo vya habari vyote vimesema Simba anabebwa.
Yanga ndio wameonewa hakuna ile haikuwa kona marefa wa kibongo ni wapumbavu sana ndio maana Mo anawahonga sana.
Wanaojadili sio clouds tu vyombo vya habari vyote vimesema Simba anabebwa.
Kwanini mpira wa goal kick kuwekwa kuwa kona idhihirishe kuwa yanga kabebwa badala ya kusema yanga kaonewa?
Sent using Jamii Forums mobile app