Update Yanga Sc VS Lipuli Taifa

Update Yanga Sc VS Lipuli Taifa

Magoli mawili ya Lipuli yamekataliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio ututhibitishie ya kuwa yalikuwa halali kabisa lakini lipuli wameonewa. Uthibitisho uwe kama ushahidi wa picha hapa chini ili tuchambue kiufundi badala wa mihemuko ya usimba na uyanga
IMG_20200205_092437.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna goli lingine halali la lipuli limekataliwa, metacha hakufanyiwa foul na kaukosa mpira na paul nonga hakuwa offside.
 
Hawa waacheni, ni mabingwa wa 'Somo la Historia'. Nilichokiona leo, ubingwa wa VPL wausahau. Hawana timu. VAR tunaihamishia Lipuli.....Vyura imewashinda leo wameshindwa kutaja mapungufu
 
Halafu waandishi wengi wa habari za michezo wapenzi wa Yanga,ndio maana hata mfungwe utasikia wameshindwa goli 3-1 kwa taaabu,hao ndio "mabingwa wa kihistoria"
Yanga ndio wameonewa hakuna ile haikuwa kona marefa wa kibongo ni wapumbavu sana ndio maana Mo anawahonga sana.

Wanaojadili sio clouds tu vyombo vya habari vyote vimesema Simba anabebwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kona ilitolewa kuwapoza wachezaji wa Lipuli maana walikuwa wakimuonesha refa kuwa goli limeingia ila hao refa na msaidizi iliwauma kukubali goli kirahisi wakaamua bila aibu eti ni kona!!
Kwanini mpira wa goal kick kuwekwa kuwa kona idhihirishe kuwa yanga kabebwa badala ya kusema yanga kaonewa?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom