Mkuu, tuwekee screenshot hapa. wakati mpira unapigwa kwenda kwa paul nonga. ili tuone kama paul nonga alikuwa kwenye onside au offside position. Yawezekana unachosema kikawa ni kweli au si kweli.Kuna goli lingine halali la lipuli limekataliwa, metacha hakufanyiwa foul na kaukosa mpira na paul nonga hakuwa offside.
Kwahiyo kwa mtazamo wako unaona mpira ulivuka mstari?Kona ilitolewa kuwapoza wachezaji wa Lipuli maana walikuwa wakimuonesha refa kuwa goli limeingia ila hao refa na msaidizi iliwauma kukubali goli kirahisi wakaamua bila aibu eti ni kona!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, tuwekee screenshot hapa. wakati mpira unapigwa kwenda kwa paul nonga. ili tuone kama paul nonga alikuwa kwenye onside au offside position. Yawezekana unachosema kikawa ni kweli au si kweli.Vipi na lile lingine , metacha hajafanyiwa foul na nonga hakuwa offside mpira ukatinga nuyavuni?
Kona ilitolewa kuwapoza wachezaji wa Lipuli maana walikuwa wakimuonesha refa kuwa goli limeingia ila hao refa na msaidizi iliwauma kukubali goli kirahisi wakaamua bila aibu eti ni kona!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo refa akaona bora awape goli la penati tu japo faulo ilikuwa nje ya 18 kwavile yanga timu hatari sana wana uwezo kusawazisha hako kagoli kao kamoja?Haina tofaiti na Yondani alipocheza faulo aliyostahili kadi nyekundu lakini yule refa wenu akaamuru iwe penalty maana alijua yanga wakiwa pungufu wangeweza kupigwa zaidi ya goli 5.
Ila kwa nyie mlivyo lia lia mkaona mmeonewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaangaika na mtu aliyetokea Mirembe!Mkuu, tuwekee screenshot hapa. wakati mpira unapigwa kwenda kwa paul nonga. ili tuone kama paul nonga alikuwa kwenye onside au offside position. Yawezekana unachosema kikawa ni kweli au si kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kuhesabu si una ligi yako.
Leo mikia imeumia sana.Mpira uko ndani ya nyavu kabisa unaambiwa hiyo ni kona hahahahahahahahah
Achana nao waendelee kuumia watalala tu.Ndio ututhibitishie ya kuwa yalikuwa halali kabisa lakini lipuli wameonewa. Uthibitisho uwe kama ushahidi wa picha hapa chini ili tuchambue kiufundi badala wa mihemuko ya usimba na uyangaView attachment 1347780
Sent using Jamii Forums mobile app
Andika barua peleka FIFA mikia fc imeumia sana.
Mkuu nakuhakikishia kocha wa Simba hatafikisha mechi 5 zijazo akiwa kocha.Acheni sasa kidomo domo..Lipuli walipuliwa magoli yao mawili na waamuzi.. Leo mmepoa sana kwa yaliyotendeka Uwanjani.
Yaaani ile Konaaaaaaaa
Mkuu nakuhakikishia kocha wa Simba hatafikisha mechi 5 zijazo akiwa kocha.
Nitakulumbusha shika hiyo,Kishingo kwisha habari yake Simba na timu itabaki kwa Matola huku uongozi ukitafuta kocha mpya.Kama ulikuwa hujui nakupenyezea hiyo.
Ndo timu gani hiyo?Unazungumziaje waamuzi Leo?[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]