Update Yanga Sc VS Lipuli Taifa

Kwenye comment yangu najadili waamuzi kuhusu game ya Ndala na Wanapaluhengo, habari za Kocha wa Simba zinatoka wapi? Au kama unalijua hilo kwanini usianzishe Uzi kuhusu Kocha Sven Vanderbroeck kufukuzwa, yaani unaniboa kishenzi.

Kwani kama akifukuzwa inakuwa kocha wa kwanza? Tafakari sana mkuu.
Mkuu nakuhakikishia kocha wa Simba hatafikisha mechi 5 zijazo akiwa kocha.
 
Mkuu Shadeeya Leo mnatafuta majibu ya kujibu lakini hampati pa kutokea, hasa mimi binafsi nilisema kuwa kuna wakati refa ni binadamu lakini mlikazania kubembwa ndo maana leo mmeumbuka [emoji23]

Maana yake mjifunze kuweka akiba ya maneno, Nugaz jana Wasafi radio aliongea kitu kizuri sana, kwamba yale hata kwao huenda yanatokea au yatatokea mbeleni.

Ok, mpira haukingia asilimia 100% Kona ya nini?
Cha ajabu Mikia nao wamegeuka VAR. Hii ni kazi ya Yanga jamaani.

Wacheni kuteseka. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duuh!! Leo umekuwa na busara kama sio weye vile Mtani. 😎😎

Niseme tu hili la kujifunza kuweka akiba ya maneno hata na nyie linawahusu na ndio sababu baada ya zile mechi tatu mliongea maneno kibao tena yale ya kuudhi kufurahia wanachofanya hao waamuzi.
 
Lipuli alipata goli lilikataliwa.
Na mengine mengi tu.

Leo unafiki wenu utadhihirika

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo mnalazimisha ionekane Yanga inabebwa kama nyie. Karia na Mwakyembe pamoja na uSimba wao wameona aibu.

Bahati nzuri Yanga chama la watu wastaarabu sana. Ingekuwa kinyume chake, uwanja wa Taifa ungeishang'olewa viti vyote.

Ndiyo maana Mchina kawawekea zege pale Shamba la bibi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…