GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Nimefanya mawasiliano na Waandamizi kadhaa wa Rwanda (naomba nisiseme wa eneo gani na ni akina nani) na wamenihakikishia kiukweli kabisa kuwa Rais wa Rwanda Paul Kagame haumwi na hajafa na kusema kuwa wanaoaambaza Taarifa hizi za Kipropaganda ni Wakongomani kupitia Rais wa Congo DR Tshisekedi na Wasaidizi wake.
Kwahiyo wale ambao mlikuwa mnaifurahia hii Taarifa ya Rais wa Rwanda Kagame kuugua na kufa imekula Kwenu imekula Kwenu na labda kama ni Kufa mtakufa nyie na Vizazi vyenu na Yeye kuendelea Kudunda tu Duniani.
Viva Rwanda
Viva Rais Paul Kagame
Viva Watutsi wote duniani