Waswahili mna taabu mno na sishangai ndiyo maana CCM inawatala na itawatawala.
Hivi Mtu kuwa na Marafiki mahala fulani ni dhambi Kwenu au ni Mtu huyo kutaka Sifa?
Hii Taarifa niliileta Mimi baada ya kuiona ikisambaa na kutokana na kuwa na Urafiki na Watu wa Taifa hilo (ambao Kimaadili) nimeomba nisiwataje, ila wamenihakikishia ni Taarifa za Uwongo na Rais Kagame yu mzima.
Mmetawaliwa na Chuki za Kishamba na Upumbavu mwingi ambao Unawagharimu. Sasa naiunga mkono 100% CCM kuendelea Kutawala Tanzania kwani imejiridhisha kuwa Mipumbavu iko mingi ambayo imejaa Wivu na Roho Mbaya.
Huu ujumbe uwafikie wale ambao utawagusa ila nasisitiza tena na kwa Kujiamini kabisa kuwa Rais wa Rwanda Paul Kagame ni mzima wa Afya na nimethibitishiwa hilo na Watu muhimu kutoka nchini Kwake.
Waswahili Wakubwa nyie.....!!!!!!