UPDATE yangu kuhusu Tetesi za Rais wa Rwanda Paul Kagame kuugua na kufa huko Munich Germany

UPDATE yangu kuhusu Tetesi za Rais wa Rwanda Paul Kagame kuugua na kufa huko Munich Germany

Kumbe huwa mnamchokoza wenyewe GENTAMYCINE inabidi mods wasiwe wanampa Ban, maana mnamuanza akiwapa haki yenu mnakimbililia kureport. Kaka yangu tembeza dozi, wakuheshimu.
GENTAMYCINE sijawahi KUCHOKOZA MTU au hata KUMTUKANA MTU hapa JamiiForums ila huwa najibu MAPIGO baada ya KUWAVUMILIA kwa muda mrefu.

Ila NASIKITIKA SANA kama siyo MNO kuwa mara kwa mara nimekuwa NIKIZIRIPOTI ID's fulani hapa (ambazo huwa zinajirudia) kwa Moderators kutokana na tabia zao za KUNICHOKOZA, KUNITUKANA, KUNISHAMBULIA na KUNIDHALILISHA kutwa kama za Inside10, LIKUD, UMUGHAKA, The Legacy, felakuti na nyinginezo, ila hakuna WANACHOFANYWA sana sana wataishia tu KUONYWA na hizo Posts zao mbaya dhidi yangu KUFUTWA haraka sana, ila ikitokea GENTAMYCINE nimejibu MAPIGO au nimeamua sasa KUPAMBANA nao upesi sana utaona napewa ADHABU (BAN)

Na labda nikusaidie tu kwamba hizi IDs tajwa hapa zina multiple ID's zao ambazo hupenda kuzitumia dhidi yangu katika Mada zangu tofauti tofauti hapa JamiiForums.

Kila siku nasema hapa kuwa kama unajua au unajijua HUNIPENDI au HUMPENDI kabisa GENTAMYCINE basi acha pia KUSHOBOKA kusoma Mada zake na pengine hata kuchangia na badala yake nenda UKAWASOME wale Members UNAOWAPENDA na KUWAKUBALI ila cha KUSHANGAZA bado tena Watu hao hao WANAHANGAIKA na Mimi.

Wale WAPUMBAVU na WANAFIKI wanaosema GENTAMYCINE nina MATUSI au LUGHA CHAFU tafadhali hebu wanionyeshe UZI wangu wowote ule NILIOUANZISHA hapa JamiiForums na KUWATUKANA Members.

Nakushukuru mno Bantu Lady kwa kuwa mmoja wa Members wa JamiiForums unayenielewa na leo KUJTOKEZA kuwaambia UKWELI hawa Members.

Inakera kwakweli.....

Cc: Refiner, Cookie, Payge, Active, Paw, YinYang, Moderator, Fang, Wand, Mhariri, JamiiForums, Bridger, Principled, Reviser and JamiiForums Founder Maxence Melo
 
Waswahili mna taabu mno na sishangai ndiyo maana CCM inawatala na itawatawala.

"Inawatala" Kiswahili cha Bunda kabisa hiki, tena Bunda vijijini.
Hivi Mtu kuwa na Marafiki mahala fulani ni dhambi Kwenu au ni Mtu huyo kutaka Sifa?

Hii Taarifa niliileta Mimi baada ya kuiona ikisambaa na kutokana na kuwa na Urafiki na Watu wa Taifa hilo (ambao Kimaadili) nimeomba nisiwataje, ila wamenihakikishia ni Taarifa za Uwongo na Rais Kagame yu mzima.

" Uwongo" = Kiswahili cha Bunda.

Uongo = Kiswahili cha Dar Es Salaam.

🙏🙏🙏🙏🙏
Mmetawaliwa na Chuki za Kishamba na Upumbavu mwingi ambao Unawagharimu. Sasa naiunga mkono 100% CCM kuendelea Kutawala Tanzania kwani imejiridhisha kuwa Mipumbavu iko mingi ambayo imejaa Wivu na Roho Mbaya.

Huu ujumbe uwafikie wale ambao utawagusa ila nasisitiza tena na kwa Kujiamini kabisa kuwa Rais wa Rwanda Paul Kagame ni mzima wa Afya na nimethibitishiwa hilo na Watu muhimu kutoka nchini Kwake.

Waswahili Wakubwa nyie.....!!!!!!
 
"Inawatala" Kiswahili cha Bunda kabisa hiki, tena Bunda vijijini.


" Uwongo" = Kiswahili cha Bunda.

Uongo = Kiswahili cha Dar Es Salaam.

🙏🙏🙏🙏🙏
Mbona na yale MAVI unayotoaga UNAKOYAMILIKI mwilini mwako pale nikimaliza KUKUINGILIA huwa huyatoi vizuri kama ulivyo mahiri kuhariri Kiswahili hapa?

Cc: Bantu Lady
 
Wabongo kwa kujipaga umuhimu duniani dah, nawakubali! Anyway mtori upo chini wandugu...
 
Nimefanya mawasiliano na Waandamizi kadhaa wa Rwanda (naomba nisiseme wa eneo gani na ni akina nani) na wamenihakikishia kiukweli kabisa kuwa Rais wa Rwanda Paul Kagame haumwi na hajafa na kusema kuwa wanaoaambaza Taarifa hizi za Kipropaganda ni Wakongomani kupitia Rais wa Congo DR Tshisekedi na Wasaidizi wake.

Kwahiyo wale ambao mlikuwa mnaifurahia hii Taarifa ya Rais wa Rwanda Kagame kuugua na kufa imekula Kwenu imekula Kwenu na labda kama ni Kufa mtakufa nyie na Vizazi vyenu na Yeye kuendelea Kudunda tu Duniani.

Viva Rwanda
Viva Rais Paul Kagame
Viva Watutsi wote duniani
Hio sentence ya mwisho huwezi kuiona kwetu sisi waTanzania
 
Nimefanya mawasiliano na Waandamizi kadhaa wa Rwanda (naomba nisiseme wa eneo gani na ni akina nani) na wamenihakikishia kiukweli kabisa kuwa Rais wa Rwanda Paul Kagame haumwi na hajafa na kusema kuwa wanaoaambaza Taarifa hizi za Kipropaganda ni Wakongomani kupitia Rais wa Congo DR Tshisekedi na Wasaidizi wake.

Kwahiyo wale ambao mlikuwa mnaifurahia hii Taarifa ya Rais wa Rwanda Kagame kuugua na kufa imekula Kwenu imekula Kwenu na labda kama ni Kufa mtakufa nyie na Vizazi vyenu na Yeye kuendelea Kudunda tu Duniani.

Viva Rwanda
Viva Rais Paul Kagame
Viva Watutsi wote duniani
Nimefanya maongezi na viongozi waandaminizi wa hospital ya milembe pale dodoma wanesema huyu mwandishi wa uzi huu huwa mwezi mchanga anajiandikiaga ujinga wa kupuuzwa pia ni mgonjwa wao
 
Nimefanya mawasiliano na Waandamizi kadhaa wa Rwanda (naomba nisiseme wa eneo gani na ni akina nani) na wamenihakikishia kiukweli kabisa kuwa Rais wa Rwanda Paul Kagame haumwi na hajafa na kusema kuwa wanaoaambaza Taarifa hizi za Kipropaganda ni Wakongomani kupitia Rais wa Congo DR Tshisekedi na Wasaidizi wake.

Kwahiyo wale ambao mlikuwa mnaifurahia hii Taarifa ya Rais wa Rwanda Kagame kuugua na kufa imekula Kwenu imekula Kwenu na labda kama ni Kufa mtakufa nyie na Vizazi vyenu na Yeye kuendelea Kudunda tu Duniani.

Viva Rwanda
Viva Rais Paul Kagame
Viva Watutsi wote duniani
Naunga mkono hoja kwani ni jana tu imetangazwa kuwa Rwanda na Congo wameingia makubaliano ya kusitisha mapigano ya mashariki ya Congo.Hayo makubaliano yasingefikiwa kama huyo kiongozi anaumwa au amefariki.
 
Back
Top Bottom