GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
- Thread starter
- #101
Idiot and Hypocrite.Wabongo kwa kujipaga umuhimu duniani dah, nawakubali! Anyway mtori upo chini wandugu...
Idiot and Hypocrite.Wabongo kwa kujipaga umuhimu duniani dah, nawakubali! Anyway mtori upo chini wandugu...
We Nani bana kagame na wenzie wakupe habari za usalama kijana? Changamsha genge tu hapa masaa yaishe ukale kande upumue hewa ya ukaa tu kule kawe! Unajipa umuhimu na umashuhuri jf kwa wajinga wenzio tu anyway jaza server tu umalize sikuIdiot and Hypocrite.
We Mwanamke yaelekea umenimiss sana!GENTAMYCINE sijawahi KUCHOKOZA MTU au hata KUMTUKANA MTU hapa JamiiForums ila huwa najibu MAPIGO baada ya KUWAVUMILIA kwa muda mrefu.
Ila NASIKITIKA SANA kama siyo MNO kuwa mara kwa mara nimekuwa NIKIZIRIPOTI ID's fulani hapa (ambazo huwa zinajirudia) kwa Moderators kutokana na tabia zao za KUNICHOKOZA, KUNITUKANA, KUNISHAMBULIA na KUNIDHALILISHA kutwa kama za Inside10, LIKUD, UMUGHAKA, The Legacy, felakuti na nyinginezo, ila hakuna WANACHOFANYWA sana sana wataishia tu KUONYWA na hizo Posts zao mbaya dhidi yangu KUFUTWA haraka sana, ila ikitokea GENTAMYCINE nimejibu MAPIGO au nimeamua sasa KUPAMBANA nao upesi sana utaona napewa ADHABU (BAN)
Na labda nikusaidie tu kwamba hizi IDs tajwa hapa zina multiple ID's zao ambazo hupenda kuzitumia dhidi yangu katika Mada zangu tofauti tofauti hapa JamiiForums.
Kila siku nasema hapa kuwa kama unajua au unajijua HUNIPENDI au HUMPENDI kabisa GENTAMYCINE basi acha pia KUSHOBOKA kusoma Mada zake na pengine hata kuchangia na badala yake nenda UKAWASOME wale Members UNAOWAPENDA na KUWAKUBALI ila cha KUSHANGAZA bado tena Watu hao hao WANAHANGAIKA na Mimi.
Wale WAPUMBAVU na WANAFIKI wanaosema GENTAMYCINE nina MATUSI au LUGHA CHAFU tafadhali hebu wanionyeshe UZI wangu wowote ule NILIOUANZISHA hapa JamiiForums na KUWATUKANA Members.
Nakushukuru mno Bantu Lady kwa kuwa mmoja wa Members wa JamiiForums unayenielewa na leo KUJTOKEZA kuwaambia UKWELI hawa Members.
Inakera kwakweli.....
Cc: Refiner, Cookie, Payge, Active, Paw, YinYang, Moderator, Fang, Wand, Mhariri, JamiiForums, Bridger, Principled, Reviser and JamiiForums Founder Maxence Melo
CERTIFIED DOPEY AND UNHINGED TANZANIAN.Nimefanya maongezi na viongozi waandaminizi wa hospital ya milembe pale dodoma wanesema huyu mwandishi wa uzi huu huwa mwezi mchanga anajiandikiaga ujinga wa kupuuzwa pia ni mgonjwa wao
CERTIFIED DOPEY AND UNHINGED TANZANIAN.We Mwanamke yaelekea umenimiss sana!
CERTIFIED DOPEY AND UNHINGED TANZANIAN.We Nani bana kagame na wenzie wakupe habari za usalama kijana? Changamsha genge tu hapa masaa yaishe ukale kande upumue hewa ya ukaa tu kule kawe! Unajipa umuhimu na umashuhuri jf kwa wajinga wenzio tu anyway jaza server tu umalize siku
Defining ya’self? IgnoredCERTIFIED DOPEY AND UNHINGED TANZANIAN.
Defining yaself ndiyo Kiingereza cha wapi hiki Mpumbavu mkubwa Wewe. Kiingereza tu hujui halafu unataka Ligi nami....!!Defining yaself? Ignored
Defining yaself ndiyo Kiingereza cha wapi hiki Mpumbavu mkubwa Wewe. Kiingereza tu hujui halafu unataka Ligi nami....!!
You're a CERTIFIED DOPEY AND UNHINGED TANZANIAN.
A Hypocrite and a Fool.
Onyesha hapa ni wapi au ni lini GENTAMYCINE nimesema ni USALAMA WA TAIFA. Kwahiyo kwa UPUMBAVU wako umeona USALAMA WA TAIFA NDIYO KAZI YA MAANA DUNIANI? au labda MABASHA ZAKO TUKUKA WAKO HUKO USALAMA WA TAIFA hivyo unanihusisha nao KIMKAKATI ILI NAMI NIJAE MAZIMA na NIKUFUKUE HUO MTARO WAKO ULIODODA?Hahahaha!🤓 eti usalama kadanganye wapumbavu kule! Ujuaji wa kijita
You're a CERTIFIED DOPEY AND UNHINGED TANZANIAN.Nutshell kwenye ubora wako
AssholeYou're a CERTIFIED DOPEY AND UNHINGED TANZANIAN.
Onyesha hapa ni wapi au ni lini GENTAMYCINE nimesema ni USALAMA WA TAIFA. Kwahiyo kwa UPUMBAVU wako umeona USALAMA WA TAIFA NDIYO KAZI YA MAANA DUNIANI? au labda MABASHA ZAKO TUKUKA WAKO HUKO USALAMA WA TAIFA hivyo unanihusisha nao KIMKAKATI ILI NAMI NIJAE MAZIMA na NIKUFUKUE HUO MTARO WAKO ULIODODA?
You're a CERTIFIED DOPEY AND UNHINGED TANZANIAN.
Wewe ni pimbi tulikuambiaNimefanya mawasiliano na Waandamizi kadhaa wa Rwanda (naomba nisiseme wa eneo gani na ni akina nani) na wamenihakikishia kiukweli kabisa kuwa Rais wa Rwanda Paul Kagame haumwi na hajafa na kusema kuwa wanaoaambaza Taarifa hizi za Kipropaganda ni Wakongomani kupitia Rais wa Congo DR Tshisekedi na Wasaidizi wake.
Kwahiyo wale ambao mlikuwa mnaifurahia hii Taarifa ya Rais wa Rwanda Kagame kuugua na kufa imekula Kwenu imekula Kwenu na labda kama ni Kufa mtakufa nyie na Vizazi vyenu na Yeye kuendelea Kudunda tu Duniani.
Viva Rwanda
Viva Rais Paul Kagame
Viva Watutsi wote duniani
Acha kutupigia makeleleNinajiamini na nina uhakika 100% juu ya hii Taarifa Mkuu. Watu KUDHARAULIANA na KUKEJELIANA hapa JamiiForums ni jambo la kawaida mno na wala sijashangaa WAPUMBAVU wachache kwa CHUKI, WIVU na USHAMBA wao KUNIKEBEHI na KUNIDHIHAKI.
Kuna Watu hapa (tunaojuana Physically) bado wanadhani GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE yule waliyemzoea na waliyekua nae 2017-2018 au waliyemuona Kawe 2019-2021 ni yule yule wa Leo.
Kawe nimehama tokea mwaka Jana 2024 tarehe 18 February na kuhamia Mapinga Bagamoyo na wala sikuficha hapa JamiiForums kwani NILIWAAGA wote.
Nilipo sasa na JUKUMU KUBWA ninalolifanya si tu kwa faida yangu au Wazazi wangu au Ndugu zangu bali NINAIHESHIMISHA TANZANIA na nina uhakika hawa WAPUMBAVU wote ambao WANANIDHIHAKI na KUNIKEBEHI Kutwa Siku ikitokea ama wakajua NAFANYA NINI au nina HESHIMA gani sasa watatafuta pa KUJIFICHA kwa AIBU KUBWA na MSHANGAO.
Namalizia tu kwa kusema HAPA DUNIANI TUSIPENDE KUDHARAULIANA kwani muda wowote ule MAISHA YA YULE MWANADAMU ambaye ulikuwa UKIMPUUZA na KUMCHUKULIA POA yanaweza KUBADILIKA ghafla kwa uwezo wake Mwenyezi Mungu ambaye GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE sitooacha kamwe KUMUABUDU na KUMSHUKURU kwa MAAJABU YAKE MAKUBWA KWANGU tokea Mwezi April 9, 2024.
Tafadhali Mkuu chukua na iamini kwa 100% hii UPDATE yangu kuhusu Suala la Rais wa Rwanda Paul Kagame.
Uwe na Majukumu Mema na Siku Njema.
Cc: FOOLISH HATERS Inside10, felakuti etc
Watutsi ni chini ya 25% ya population ya Rwanda so hiyo Viva Rwanda ungeifuta kama lengo lako ni kujivunia Ututsi.Nimefanya mawasiliano na Waandamizi kadhaa wa Rwanda (naomba nisiseme wa eneo gani na ni akina nani) na wamenihakikishia kiukweli kabisa kuwa Rais wa Rwanda Paul Kagame haumwi na hajafa na kusema kuwa wanaoaambaza Taarifa hizi za Kipropaganda ni Wakongomani kupitia Rais wa Congo DR Tshisekedi na Wasaidizi wake.
Kwahiyo wale ambao mlikuwa mnaifurahia hii Taarifa ya Rais wa Rwanda Kagame kuugua na kufa imekula Kwenu imekula Kwenu na labda kama ni Kufa mtakufa nyie na Vizazi vyenu na Yeye kuendelea Kudunda tu Duniani.
Viva Rwanda
Viva Rais Paul Kagame
Viva Watutsi wote duniani
😂😂😂Madhara ya ubwiwaji wà sungura kupitiliza "eti waandamizi ndani ya rwanda🤣🤣🤣🤣...
Wasalimie hapo kawe ukwamani