UPDATE yangu kuhusu Tetesi za Rais wa Rwanda Paul Kagame kuugua na kufa huko Munich Germany

UPDATE yangu kuhusu Tetesi za Rais wa Rwanda Paul Kagame kuugua na kufa huko Munich Germany

Mzushi mkubwa wewe
Umeleta taharuki kubwa humu kwa lengo gani hasa? Kwa nini uli post kabla kuhakiki?

Ulitaka kuanzisha genocide Rwanda au? What was your motive behind your post? Kimzulia kifo kwa kuita tetesi or whatever?
FOOLISH AND IMBECILE TANZANIAN HATER.
 
genta unapoteza muda nduguyangu kuelimisha hayo mapoyoyo yanayosifia mpaka mama yao anapojamba kimsingi tuna kizazi cha ajabu sana hapo nchini
NIMEKUELEWA SANA TU MKUU WANGU Janja weed

KUTWA WANAHUBIRI KUNICHUKIA HAPA JAMIIFORUMS NA KUSEMA MANENO KIBAO DHIDI YANGU ILA CHA KUSHANGAZA TENA NDIYO HAO HAO TENA WANAONGOZA KUNISOMA 24/7 HAPA JAMIIFORUMS KUANZIA MADA ZANGU HADI POSTS ZANGU.

HALAFU NIKIWAITA 'FOOLISH AND IMBECILE TANZANIAN HATERS" WATASEMA NAWATUKANA AU NAWADHALILISHA WAKATI KUMBE KIUHALISIA NA KIUKWELI HUWA NAKUWA SAHIHI DHIDI YAO.

Cc: FOOLISH AND IMBECILE TANZANIAN HATERS Inside10, felakuti, LIKUD, Shotocan, Nurain, lost files, Intricate etc
 
Wakuu, kuna rafiki yangu nchini Rwanda ananiambia Rais wao kafariki ila serikali imeficha taarifa hii. Kuna uvumi tu mitaani huku kukiripotiwa mgawanyiko wa siri jeshini na usalama wa Taifa.

Inadaiwa kuna watu wanataka Ivan Kagame ndiye awe Rais na wengine wakimtaka mkuu wa zamani wa jeshi James Kabarebe. Ivan ni mwanaye Kagame na pia mlinzi wake kwa siku za karibuni. Inadaiwa Kagame hajaonekana hadharani kwa majuma matatu sasa.

Hata mkataba wa Amani kati yake na Congo haujasainiwa 15 June 2025 kwa sababu hizi.
Pia kumekuwa na uvumi kwa muda mrefu kuwa Kagame anaugua kansa ya ubongo na anaishi kwa dozi.

Sijui Congo au Belgium wamefanya yao.
 
Back
Top Bottom