UPDATE yangu kuhusu Tetesi za Rais wa Rwanda Paul Kagame kuugua na kufa huko Munich Germany

Uogopi kutekwa kwa kuandika habari nzito kama hizo wale hata uwe kwenye sayari ya jua watakufuata tu
Ninajiamini na nina uhakika 100% juu ya hii Taarifa Mkuu. Watu KUDHARAULIANA na KUKEJELIANA hapa JamiiForums ni jambo la kawaida mno na wala sijashangaa WAPUMBAVU wachache kwa CHUKI, WIVU na USHAMBA wao KUNIKEBEHI na KUNIDHIHAKI.

Kuna Watu hapa (tunaojuana Physically) bado wanadhani GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE yule waliyemzoea na waliyekua nae 2017-2018 au waliyemuona Kawe 2019-2021 ni yule yule wa Leo.

Kawe nimehama tokea mwaka Jana 2024 tarehe 18 February na kuhamia Mapinga Bagamoyo na wala sikuficha hapa JamiiForums kwani NILIWAAGA wote.

Nilipo sasa na JUKUMU KUBWA ninalolifanya si tu kwa faida yangu au Wazazi wangu au Ndugu zangu bali NINAIHESHIMISHA TANZANIA na nina uhakika hawa WAPUMBAVU wote ambao WANANIDHIHAKI na KUNIKEBEHI Kutwa Siku ikitokea ama wakajua NAFANYA NINI au nina HESHIMA gani sasa watatafuta pa KUJIFICHA kwa AIBU KUBWA na MSHANGAO.

Namalizia tu kwa kusema HAPA DUNIANI TUSIPENDE KUDHARAULIANA kwani muda wowote ule MAISHA YA YULE MWANADAMU ambaye ulikuwa UKIMPUUZA na KUMCHUKULIA POA yanaweza KUBADILIKA ghafla kwa uwezo wake Mwenyezi Mungu ambaye GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE sitooacha kamwe KUMUABUDU na KUMSHUKURU kwa MAAJABU YAKE MAKUBWA KWANGU tokea Mwezi April 9, 2024.

Tafadhali Mkuu chukua na iamini kwa 100% hii UPDATE yangu kuhusu Suala la Rais wa Rwanda Paul Kagame.

Uwe na Majukumu Mema na Siku Njema.

Cc: FOOLISH HATERS Inside10, felakuti etc
 
Kwann sasa unataka kuleta taharuki kwa kumzushia mpakaliwa mafuta habari mbaya
 
genta unapoteza muda nduguyangu kuelimisha hayo mapoyoyo yanayosifia mpaka mama yao anapojamba kimsingi tuna kizazi cha ajabu sana hapo nchini
 
Nimefanya mawasiliano na Waandamizi kadhaa wa Rwanda (naomba nisiseme wa eneo gani na ni akina nani) na wamenihakikishia kiukweli kabisa kuwa Rais wa Rwanda Paul Kagame haumwi na hajafa na kusema kuwa wanaoaambaza Taarifa hizi za Kipropaganda ni Wakongomani kupitia Rais wa Congo DR Tshisekedi na Wasaidizi wake.

Kwahiyo wale ambao mlikuwa mnaifurahia hii Taarifa ya Rais wa Rwanda Kagame kuugua na kufa imekula Kwenu imekula Kwenu na labda kama ni Kufa mtakufa nyie na Vizazi vyenu na Yeye kuendelea Kudunda tu Duniani.

Viva Rwanda
Viva Rais Paul Kagame
Viva Watutsi wote duniani
Mzushi mkubwa wewe
Umeleta taharuki kubwa humu kwa lengo gani hasa? Kwa nini uli post kabla kuhakiki?

Ulitaka kuanzisha genocide Rwanda au? What was your motive behind your post? Kimzulia kifo kwa kuita tetesi or whatever?
 
Back
Top Bottom