GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Kwahiyo hii sanda tushonee sare za shule au?Nimefanya mawasiliano na Waandamizi kadhaa wa Rwanda (naomba nisiseme wa eneo gani na ni akina nani) na wamenihakikishia kiukweli kabisa kuwa Rais wa Rwanda Paul Kagame haumwi na hajafa na kusema kuwa wanaoaambaza Taarifa hizi za Kipropaganda ni Wakongomani kupitia Rais wa Congo DR Tshisekedi na Wasaidizi wake.
Kwahiyo wale ambao mlikuwa mnaifurahia hii Taarifa ya Rais wa Rwanda Kagame kuugua na kufa imekula Kwenu imekula Kwenu na labda kama ni Kufa mtakufa nyie na Vizazi vyenu na Yeye kuendelea Kudunda tu Duniani.
Viva Rwanda
Viva Rais Paul Kagame
Viva Watutsi wote duniani
NakaziaHuna connection yoyote, umejua ulikurupuka toka vyanzo vya uswahilini ila umekutana na taarifa mitandaoni zikikanusha. 😂😂😂
Unamdharau mtoa mada?Mods mnaichaje hii habari kusema kwamba ana uhakika hii habari inasambazwa na president wa Congo..jamii check please
Mzee wa kukurupuka..amepatikana....ujanja mwingi mbele gizaHuna connection yoyote, umejua ulikurupuka toka vyanzo vya uswahilini ila umekutana na taarifa mitandaoni zikikanusha. 😂😂😂
Another Fool.Mzee wa kukurupuka..amepatikana....ujanja mwingi mble giza
A Hypocrite and a Fool.Connection eti eeh ?
Another Fool.Madhara ya ubwiwaji wà sungura kupitiliza "eti waandamizi ndani ya rwanda🤣🤣🤣🤣...
Wasalimie hapo kawe ukwamani
Another Fool.Ujuaji
Kuwa huna Akili au?Nakazia
Another Fool.Mods mnaichaje hii habari kusema kwamba ana uhakika hii habari inasambazwa na president wa Congo..jamii check please
Stori za kitoto wadanganye wanywa sungura wenzako hapo kaweWaswahili mna taabu mno na sishangai ndiyo maana CCM inawatala na itawatawala.
Hivi Mtu kuwa na Marafiki mahala fulani ni dhambi Kwenu au ni Mtu huyo kutaka Sifa?
Hii Taarifa niliileta Mimi baada ya kuiona ikisambaa na kutokana na kuwa na Urafiki na Watu wa Taifa hilo (ambao Kimaadili) nimeomba nisiwataje, ila wamenihakikishia ni Taarifa za Uwongo na Rais Kagame yu mzima.
Mmetawaliwa na Chuki za Kishamba na Upumbavu mwingi ambao Unawagharimu. Sasa naiunga mkono 100% CCM kuendelea Kutawala Tanzania kwani imejiridhisha kuwa Mipumbavu iko mingi ambayo imejaa Wivu na Roho Mbaya.
Huu ujumbe uwafikie wale ambao utawagusa ila nasisitiza tena na kwa Kujiamini kabisa kuwa Rais wa Rwanda Paul Kagame ni mzima wa Afya na nimethibitishiwa hilo na Watu muhimu kutoka nchini Kwake.
Waswahili Wakubwa nyie.....!!!!!!
Usije kupoteza CV zako kama majaliwaNimefanya mawasiliano na Waandamizi kadhaa wa Rwanda (naomba nisiseme wa eneo gani na ni akina nani) na wamenihakikishia kiukweli kabisa kuwa Rais wa Rwanda Paul Kagame haumwi na hajafa na kusema kuwa wanaoaambaza Taarifa hizi za Kipropaganda ni Wakongomani kupitia Rais wa Congo DR Tshisekedi na Wasaidizi wake.
Kwahiyo wale ambao mlikuwa mnaifurahia hii Taarifa ya Rais wa Rwanda Kagame kuugua na kufa imekula Kwenu imekula Kwenu na labda kama ni Kufa mtakufa nyie na Vizazi vyenu na Yeye kuendelea Kudunda tu Duniani.
Viva Rwanda
Viva Rais Paul Kagame
Viva Watutsi wote duniani