Updates: Diamond Platnumz na Zari wapata mtoto wa kiume

Updates: Diamond Platnumz na Zari wapata mtoto wa kiume

Kisha afunge kizazi sasa loh! Hobby gani hii
Kwanini mkuu unamshauri hivyo? Kati ya kuzaa na tendo kipi unamaanisha ni hobby? umewahi kuzaa hata mara moja hadi kujua kama inaweza kuwa hobby au isiwe hobby? Tupe experience yako ya hobby ya uzazi toka umeanza kuzaa!?
 
Ile ni incubator bro... Chibu atashindwa yeye kuendelea kuzalisha, yule mdada naweza sema ana asili ya kwetu Giningi maana sisi mwenye wachache basi ni 8
Giningi ndio wapi mkuu, nifahamishe vzr nipajue
 
Simba hazai paka, baada ya mwezi Dogo atatangazwa balozi wa kampuni flani na kupiga mtonyo mzuri tu..!

Kwa huu msimu wa blaza Magu atasubiri sana. Labda kampuni uchwara au hewa!

Make wasanii wakikosa watatuzuga tu followers na mchezo unaisha.
 
Back
Top Bottom