Updates: Diamond Platnumz na Zari wapata mtoto wa kiume

Updates: Diamond Platnumz na Zari wapata mtoto wa kiume

Kwa huu msimu wa blaza Magu atasubiri sana. Labda kampuni uchwara au hewa!

Make wasanii wakikosa watatuzuga tu followers na mchezo unaisha.
Sio kila kampun inasoma namba mkuu
kampun nyingine ziko vizuri tena sana..nawaza tu kwa saut sim ya simba itakua bize wakat huu.
 
Sio familia tu inajazwa minoti hata kampun pia wanapata faida kubwa ..unafikir kwa mfano tifa ni baloz wa ile babyshop sjui ama nmb junior acount..parents weng wenye watoto wao pia watataka kwenda kununua nguo anazovalishwa tifah au kuwafungulia watoto wao akaunt itakayowasaidia badae haswa katika kipindi kama cha chuo hatangaika na mikopo ambayo huna uhakika unapata ama la ataenda tu kuchukua kilichowekezwa na wazazi tokea akiwa mdogo na pia hata inaweza msaidia aanze maisha.
 
Unatukana kisa mtoto..aise chuki zingine inabidi mtu ukapimwe akili tu ili uwe na uhakika kua hujawehuka
hawa jamaa laana inawasumbua..... wametelekeza watoto watatu mtaani. Walifikiri Diamond angechukua njia waliopita. Its shame on them,, kinachobaki hapo ni kutukana tu,. na kumbuka hawajaanza leo alianza yule mama huruma. Ni wa kusamehe tu.
 
Back
Top Bottom