Hahahahaaaaaaaaaaaa yan umenivunja mbavu zangu LeoMtoto kanimalizia MB zangu huyu...haha usku kucha nahaha inst,snapchart kumsubiria looh
Huyu kizazi atakua kakiharibu kwa kutoa mimba.We umefunga??....... Au kazi yako kuhimiza wenzako tu?
Kwanini mkuu unamshauri hivyo? Kati ya kuzaa na tendo kipi unamaanisha ni hobby? umewahi kuzaa hata mara moja hadi kujua kama inaweza kuwa hobby au isiwe hobby? Tupe experience yako ya hobby ya uzazi toka umeanza kuzaa!?Kisha afunge kizazi sasa loh! Hobby gani hii
Watanzania kwa unafiki tunaweza kuongoza, unaweza kukuta wewe ni wa 6 au wa 7 kuzaliwa kwenu, hujawahi kumshangaa mama yako ila zari kuzaa mtoto wa 5 mnaona ajabu. Mungu anatuona.Uyo Zari hanaga uchungu eeh
Jamani jamani . ..Ni kweli mkuu lkn sio hawa wa uzinzi Baraka ni yule wa ndoa
Kweli hauna kazi.Mtoto kanimalizia MB zangu huyu...haha usku kucha nahaha inst,snapchart kumsubiria looh
Unatka quotes na ww... Kwani utalipwa??Lol...huyu bibi afunge kizazi sasa
Giningi ndio wapi mkuu, nifahamishe vzr nipajueIle ni incubator bro... Chibu atashindwa yeye kuendelea kuzalisha, yule mdada naweza sema ana asili ya kwetu Giningi maana sisi mwenye wachache basi ni 8
hujazuiwa na wewe kama upo radhi post wako! watu washabikieMbona watoto wenu hamuwasujudii kama huyo mtoto wa diamond?
Simba hazai paka, baada ya mwezi Dogo atatangazwa balozi wa kampuni flani na kupiga mtonyo mzuri tu..!
Hata ukitukana haitasaidia. hamna mtu anaesujudiwa zaidi ya Mungu pekee.Swali zuri sana hilo. Pumbavu zao kabisa.