BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Sidhanni kama una mtoto na kama unae sidhani kama utamuita "kitugani"Hicho kitu gani
DuuuhHuo mguu wa Harmo kabisaaaaaaa ,huhuhuhuhuhu
Tatizo nyota ...waache tu ukijibizanaa nao haisaidii ...hujazuiwa na wewe kama upo radhi post wako! watu washabikie
Swali zuri sana hilo. Pumbavu zao kabisa.
Sio kila kampun inasoma namba mkuuKwa huu msimu wa blaza Magu atasubiri sana. Labda kampuni uchwara au hewa!
Make wasanii wakikosa watatuzuga tu followers na mchezo unaisha.
Asante [emoji477]Mbona watoto wenu hamuwasujudii kama huyo mtoto wa diamond?
Hawa zao si kuzalisha na kuacha sisi tuwalee wanao... King maharage..Tatizo nyota ...waache tu ukijibizanaa nao haisaidii ...
Mbona watoto wenu hamuwasujudii kama huyo mtoto wa diamond?
Sio kila kampun inasoma namba mkuuKwa huu msimu wa blaza Magu atasubiri sana. Labda kampuni uchwara au hewa!
Make wasanii wakikosa watatuzuga tu followers na mchezo unaisha.
Unatukana kisa mtoto..aise chuki zingine inabidi mtu ukapimwe akili tu ili uwe na uhakika kua hujawehukaNaona team Kariakoo mnaumia hiviii
..unafikir kwa mfano tifa ni baloz wa ile babyshop sjui ama nmb junior acount..
Wengine wana roho za paka wanatupa watoto chooni ama wanatoa mimba shame on them alaf wanakuja kukejel hapa ...vibaya ku show love?Hawa zao si kuzalisha na kucha sisi tuwalee wanao... King maharage..
hawa jamaa laana inawasumbua..... wametelekeza watoto watatu mtaani. Walifikiri Diamond angechukua njia waliopita. Its shame on them,, kinachobaki hapo ni kutukana tu,. na kumbuka hawajaanza leo alianza yule mama huruma. Ni wa kusamehe tu.Unatukana kisa mtoto..aise chuki zingine inabidi mtu ukapimwe akili tu ili uwe na uhakika kua hujawehuka
Inaweza isiwe hio zikaja zingine mkuu..anyway its all good tutaona picha itakuja kwa hisani ya nani hatujuiKampuni kubwa kama hizi ndo nazizungumzia.
Hazina tena uwezo huo.
Inaweza isiwe hio zikaja zingine mkuu..anyway its all good tutaona picha itakuja kwa hisani ya nani hatujui
Swali zuri sana hilo. Pumbavu zao kabisa.
Mumsubiri wa jojo! nimekumbuka hampendi show offππππAsante [emoji477]