Updates: Diamond Platnumz na Zari wapata mtoto wa kiume

Jamani namie nipeni pongezi kwani my wife naye kajifungua ila huku tarime hua hawaendi hosp so ilikua Leo saa sita akiwa shambani........
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ila Zari kiboko, mtoto wa 6 na bado anaita...!!
 
Daaah aisee nitampata wapi mtu kama zari mie
 
Welcome to the world chibu Jr.....
Zari mwanamke wa nguvu hongera
 
Unauwakika wew umezaliwa ndan ya ndoa, au sababu mama ako hajakwambia kama alimchit mdingi wako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] halali kabisa copy right na baba anguu!!

yaani mm 100% sure haina mjadala!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…