Updates: Diamond Platnumz na Zari wapata mtoto wa kiume

Updates: Diamond Platnumz na Zari wapata mtoto wa kiume

Jamani namie nipeni pongezi kwani my wife naye kajifungua ila huku tarime hua hawaendi hosp so ilikua Leo saa sita akiwa shambani........
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Welcome to the world chibu Jr.....
Zari mwanamke wa nguvu hongera
 
Unauwakika wew umezaliwa ndan ya ndoa, au sababu mama ako hajakwambia kama alimchit mdingi wako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] halali kabisa copy right na baba anguu!!

yaani mm 100% sure haina mjadala!!
 
Back
Top Bottom