pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,660
- 6,282
Huyo mtoto ni raia wa nchi gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamani namie nipeni pongezi kwani my wife naye kajifungua ila huku tarime hua hawaendi hosp so ilikua Leo saa sita akiwa shambani........
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mtoto kanimalizia MB zangu huyu...haha usku kucha nahaha inst,snapchart kumsubiria looh
niliesha snapuchtiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Maandiko yako yanatafsiri jinsia na utaifa wako,have good day.Una uhakika mimi ni mbongo?
Au una kiherehere cha kubuni vitu?
Yanatafsiri kivipi?Maandiko yako yanatafsiri jinsia na utaifa wako,have good day.
Basi mna dogo nyie, akiolewa mtaanza kusema apewe talaka, hahhahahahahahhaunafiki UPI?
aolewe basi dah!namuonea huruma kweli..maana kwa sheria za dini daimomd hao si watoto wake
Mimi tayari nilishafunga kizaziBado wetu mm naww
Nipo best niambiekhantwe upooooooooooo
Kinafunguliwa km sodaMimi tayari nilishafunga kizazi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Basi mna dogo nyie, akiolewa mtaanza kusema apewe talaka, hahhahahahahahha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] halali kabisa copy right na baba anguu!!Unauwakika wew umezaliwa ndan ya ndoa, au sababu mama ako hajakwambia kama alimchit mdingi wako
Huyu ndio mwanamke wa Kiafrika ,sio unazaa kitoto kimoja oh eti kwenda na wakati
Kitoto hicho hicho shetani anamuangalia na Mungu pia
Huyu ndio mwanamke wa Kiafrika ,sio unazaa kitoto kimoja oh eti kwenda na wakati
Kitoto hicho hicho shetani anamuangalia na Mungu pia