supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,952
duh! kwa kua upo nyuma ya keyboard na id feki basi kila mtu dogoAcha uroporopo dogo
Hivi ommy dimpoz ana watoto wangapi?Moja kwa moja kutoka Pritoria tupo hapa nje tunamsubir Chibu junior. Tumuombe MUNGU ATOKE SALAMA ..
MUNGU AWABARIKI MAMA NA MTOTO.
wa 5Mtoto wa 4
Hahaa ngoja aje na ile Id yake nyingine akuporomoshee.Hivi wewe jamaa udhamini wako na Coral paints bado haujaisha ?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ile ni incubator bro... Chibu atashindwa yeye kuendelea kuzalisha, yule mdada naweza sema ana asili ya kwetu Giningi maana sisi mwenye wachache basi ni 8
Usimpangie maisha wewe kwani unazaa ww au yeye na unasaidia kulea!? Watz bhanah sijuh tukojeKisha afunge kizazi sasa loh! Hobby gani hii
Huo ndo uanamke babuNaona hana ule mshipa wa uchungu
Mkataba na leba kivipi, kizazi anacho acha azae asee....but why nifah chaaaaaa mwanamke huyu ana mkataba na huko labour kwakweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]yeye kujingua kwake ni simple kama kukanga yai.....unaweza mpa hata gazeti akasoma huku anafyatua
Labour wards ambassador yupo kazini.
Kila la kheri mama.
kweli mkuu,, kwanza Raisi kashaturuhusu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Kisha afunge kizazi sasa loh! Hobby gani hii
Nakuombea na wewe Mungu akujaze uwezo zaidi ya Zari.atoke salama tunamsubiria mtoto