supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,952
Zamani tulikuwa tunaambiwa Diamond ni freemasons, na ukiwa member wa freemasons huwezi/huruhusiwi kupata mtoto. Sasa mpaka leo najiuliza Jay Z ni freemasons ana watoto, Chrisbrown nk
[emoji117] Hongera Zaribosslady na Diamond Platnumz kwa kupata mtoto.
-*Raha sana kuwa na watoto wengi, mfano ukiwa na watoto 10 akafariki mmoja basi angalau hakuna ubaya wamebaki 9. Kuliko kuwa na mtoto mmoja au wawili ukapoteza mtoto mmoja utabaki na majonzi na masikitiko sana kwa maisha yote mpaka kifo.